Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Je unafahamu kuwa muziki umekuwa kwa kasi sana pande za Ukambani na kutoa wasanii matata sana kwenye game la muziki Kenya kama Kush Tracey!

Basi fahamu na huyu dogo msanii mpya wa gospel kutokea Ngwata Kibwezi, Makueni County.

James Wambua Muvea aka Pure James amepiga story na Mkazivae wa Mitego Sasa na kufahamisha kisa cha kujiita ‘Pure Jame’.

Pure James: Yaitwa mungu yupo …..i call my self pure James because i want to be in gospel azn pure Gospel songs” amemaliza hivyo. Pure James.

Hii hapa link ya wimbo wake mpya ‘Mungu Yupo’. Download.

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply