Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Kutoka Nigeria ni video moto ya msanii matata nchini humo ambaye anatikisa dunia kwa ukali wake.

Patoranking ambaye ameachia hits kadhaa na baadhi ya wasanii wa Afrika Mashariki kama Diamond Platnumz, Ali Kiba, Rich Mavoko na wengineo wengi duniani, ameachia video yake ya ngoma ‘Available’.

Hata hivyo kwenye pitapita zangi mitandaoni nimegundua wetu wengi wanaipenda video hio kutokana na ubunifu wa director Clarance kutoka Nigeria ambaye ameitendea haki video hio.

Hii hapa chini link ya video ‘Available’

Patoranking

Tazama alichotupia kwenye comments shabiki mmoja;

Clarence is the best director of all time 😋

This is justice

😂😂 feeling like an amatuer

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply