Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Fahamu msanii huyu wa bongo Tanzania anayetesa mitandao kwa sasa.

Chindo Man amekubalika kwenye game la muziki baada ya kuachia album na single kadhaa moto kama vile Fungulia Maubwa.

Mkali huyo amefanya kazi na waanii mastaa wa bongo fleva akiwemo, Dully Sykes, Dogo Janja na sasa anatamba na collabo yake na msanii Rayvanny kwa jinaMama Lao’ .

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply