Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Kutoka bongo Tanzania ni wimbo mpya balaa mitaani.

Baada ya kuhamia nchini Kenya msanii huyo wa bongo fleva amekuwa matata zaidi kwenye muziki licha ya kuzama kwenye game kwa muda kiasi.

Matonya Mbili ni mkali wa nyimbo nyingi kama vile ‘Anita, Vaileth, Haijaeleweka, Nyumba Ndogo’ na nyinginezo, sasa ameachia kazi mpya.

Matonya ameachia wimbo huo mwishoni mwa wiki hii na ngoma inatamba kwa jina ‘Kiherehere’ .

Producer anaitwa Narrow.

Link ya ngoma mpya hii hapa;

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply