Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Dah! Leo Jumapili Willy Pozee amepashwa makali yake na msanii mmoja wa secular music.

Msanii huyo anayetaja kitendo cha Willy Paul kuchanganya gospel music na secular kama uhuni, amesema kuwa Pozee alianza na Moyo ila anamalizia na Mwili.

Gemstone Reborn ni msanii wa bongo fleva maarufu kama Chick Fleva kutokana na asili yake kwenye jamii ya Abaluhya wanaopenda kula kuku yaani Chicken.

Mbali na kuwa ni msanii wa secular music, amefunguka kusema kuwa jina lake lilitokana na maisha yake ya usumbufu shule ya upili hadi mwalimu wake akampa jina hilo baada ya kubadilika tabia ‘Reborn’.

Willy Pozee na Gemstone

Hiki hapa alichoambia Mitego Sasa kuhusu Willy Paul aka Pozee.

“Eti gospel! Gospel nani anafanya? Acha tuongee ukweli, kuna kanisa nyingi sana za ukweli na uongo, vile vile kuna wasanii wanao fanya Gospel na Secular, lakini kuna msanii hajulikani anafanya type gani. Huyu WILLY PAUL. hakuna wimbo wake wowote unaoweza hata skiswa kule Tanzania eti Gospel. Ni kweli kuna watu huanza na roho na kumaliza kimwili, mwanzo niliupenda muziki wake YOU NEVER KNOW and SITOLIA.. lakini alipoanza mambo na POZE, JIGI JIGI hapo ndo nilijua huyu kapotea kwa GOSPEL.

hakuna Gospel POZE anafanya.. Shauri langu kwake ni heri afanye secular na aache ujinga wa competition na Bahati.”amesema Gemstone

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply