Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Wah!! Balaa hili limezuka kwenye mitandao kuhusu vita vya wana WCB Wasafi.

Haya yote yametokea punde baada ya msanii Diamond Platnumz ambaye yupo chini ya lebo hio kubwa ya muziki Tanzania kuingia kwenye ugomvi na wanahabari wa Tv wa shirika la Clouds Media.

Diamond

Diamond kwenye ugomvi huo unaohusu suala la dancer wake kudhulumiwa na wanahabari hao, kumeishia kufanya manager wake Sallam kuweka wazi kuwa Diamond sio mmiliki wa Wasafi Records kama wengi wanavyodhania.

Maneja Sallam alipost kutaka kumwanika wazi maovu ya mmoja wa wamiliki wa Wcb ambaye ndiye CEO wa Clouds Media, Ruge Mutahaba anayedaiwa kuhusika kwenye ugomvi huo.

Tazama post yake Sallam;

Hata hivyo Manager huyo wa Simba aliamua kuacha kumwanika CEO huyo baada ya kutetewa na mmoja wa wamiliki wa Wcb Wasafi Records, Joe Kusaga.

Joe Kusaga na Ruge Mutahaba ndio wamiliki wa lebo hio kali East Africa.

Diamond

Hatimaye inakisiwa kuwa msanii wa bongo fleva, Aslay Isihaka aka Dingi Mtoto anaweza kuteuliwa kuongoza kama msanii mkubwa kwenye lebo hio badala ya Diamond Platnumz kutokana na ubunifu wake, bidii, vocals kali kuliko za baba Tiffah, Diamond.

Aslay

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply