Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Hii nayo mpya kutoka kwa mkali wa Mazishi ambaye anafahamika kupitia mchano yake balaa.

Khalighraph Jones aka Papa Jones ameachia ujio mpya collabo na Petra.

Mkali huyo wa Nataka Hio Doh, ameanza mtindo wa kufanya collabo nyingi na wasanii wa kike kama njia ya kuhakisha amekuza vipaji changa na kuwezesha pia usawa wa jinsia.

Collabo hio ambayo kwa sasa ipo kwenye playlists za media mbalimbali, inasifika mno mitaani kutokana na mwingiliano ‘Chemistry’ yao kisanaa wawili hao.

Ngoma yao mpya inaitwa Rider.

Download wimbo YouTube.

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply