Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Kutoka Serian Music ambapo msanii mmoja anayewakilisha Pwani ya Kenya, sasa habari mpya hii.

Madini Classic aka Handsome wa Maghettoni amefunguka na kuambia Mkazivae wa Mitego Sasa kuwa muziki waka umevuja.

Habari hizo amenidokezea kuhusu ngoma yake ambayo ipo mitaani bila kusudio lake kwani ngoma bado ingali mbichi.

Wimbo huo kwa jina Halima, alikuwa akimtumpia Producer ili aweze kuuskiliza atoe maoni yake ila kwa bahati mbaya, akaishia kuutuma kwenye group moja la WhatsApp na hapo ikaanza kusambaa.

Madini Classic

Ni wazi kwa mujibu wake kuwa hio ngoma hatoweza kuweka kwenye Youtube channel yake kwani imeshatoka wakati ilikuwa demo, akimtumia producer.

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply