Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Leo ni siku kubwa kwa wapenzi wapendanao na wapenzi wa muziki.

Nyashinski msanii wa hip hop rap Kenya ameachia hit kali kwenye Valentine’s Day 2018, baada ya kufanya vizuri na wimbo wake Hayawani.

Mkali huyo ameweka rekodi ya kuachia hit song sita kwa sasa baada ya kurejea kwenye game la muziki tena.

Hii hapa link ya wimbo wake mpya kwa jina Bebi Bebi. Download!

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply