Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Bahati msanii wa gospel Kenya leo siku muhimu kwake na mwenzake Diana Marua.

Msanii huyo amefunguka kuhusu bahati yake kubwa kwenye siku hii ya Valentine’s Day 2018, kujaaliwa kupata mtoto wa kike na mpenzi wake huyo Diana.

Wawili hao walifunga ndoa yao tarehe 20th October, 2017 na kufika mwezi December, Diana alikuwa na mimba ya Bahati japo hawakuweka hadharani. Kumbuka pia harusi yao haikuwekwa wazi ilikuwa ya kisiri nyumbani kwa mrembo huyo wa Ukambani.

Diana na Bahati

Leo Bahati anafurahia kuwa baba kwani furaha yake ameonyesha kwenye post ya ujumbe baada ya Diana kujifungua leo asubuhi mtoto wao kwa jina Heaven Bahati.

Heaven Bahati

Hata hivyo Bahati alishawahi kupata mtoto mwingine wa kike na mwanamke mwingine miaka miwili nyuma.

#MitegoEA.

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply