Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Leo ni siku muhimu kwa msanii wa bongo fleva aliyekuwa chini ya usimamizi wa Wcb Wasafi kabla ya kuamua kufanya muziki kivyake.

QBoy Msafi mkali Mugacherere, amebahatika kusherehekea matukio mawili ya maisha yake ndani ya siku moja leo. Ikiwa ni siku muhimu kwa wapendanao duniani, pia imekuwa siku yake aliyozaliwa.

Ametupia Mitego Sasa ujumbe ufwatao;

“Muombe Mungu akupe unachostaihili..sio akupe unachotaka ..wengi wetu tunamuomba MUNGU atupe tunachotaka… matokeo yake imekuwa kwamba umemuomba Mungu KUWA na pesa💸 kumbe unachostahili kwa Mungu ni kuwa mmiliki wa mapesa💰……

It’s my birthday🎂 i thankx ALLAH kwa kunipa uhai wa kutumia pumzi yake bila malipo yoyote kwake…na afya njema na akili bukheri ..

#TankxMomandDaddy#birthdayboy#

#inGodwetrust”

Hata hivyo amehimiza kwenye suala la kuomba Mungu akupe unachostahili sio unachofikira unaweza kuwa nacho maana yeye ndiye mgawa riziki na kila kitu ulimwenguni.

#MitegoSasaLaunchParty

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply