Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Haya mapya kutoka kwa mwanadada msanii kutokea jimbo la Pwani, Mtwapa Mombasa.

Sis P Queen ameachia nyimbo kali za mahaba kama vile ‘Nishike’ na kwa sasa ni gumzo kwenye ukanda wa Pwani kupitia kazi zake za sanaa.

Hata hivyo Mitego Sasa imepekua na kukusogezea uhondo kati yake na gavana wa kaunti yake ya Mombasa, Hassan Joho aka 001.

Joho na Sis P

Kupitia picha aliyoitupia mtandaoni wake Sis P, inakisiwa kuwa huenda akawa ndiye anayeendesha moyo wa ‘Sultan’ huyo wa Pwani.

Kama ilivyoandikwa kwenye hio Screenshot inaonekana kuwa wanajivinjari kwa raha zao huku wakionekana kutekenyana kimahaba.

Tazama hii hapa;

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply