Sunday, February 25, 2018

Video: Man rears Chicks under his Beards

Hio video ni ya ajabu kweli yaani pia wanadamu wa uwezo na kipaji kikubwa kwenye maumbile yao. Huyo jamaa amefuga vifaraga hai chini ya ndefu zake hizo ndefu. Tazama hapa juu...

Video: Man grows Chicken under his Beards

Hio video ni ya ajabu kweli yaani pia wanadamu wa uwezo na kipaji kikubwa kwenye maumbile yao. Huyo jamaa amefuga vifaraga hai chini ya ndefu zake hizo ndefu. Tazama hapa juu...

Photo: Look how Zari is old than Diamond Platnumz

Haya mapenzi hayana mwenyewe tena ni balaa. Hapa nakusogezea picha ya zamani ya wepenzi wawili wanaofahamika na kushabikiwa kwa sana kutokana na juhudi za kimaisha. Picha hii yupo mpenzi wake superstar...

Wcb Wasafi kufungua branch Kenya

Kumbe habari za juzi kuhusu Diamond Platnumz kutimuliwa Wcb Wasafi zimekuwa ni kiki tu! Habari hizo kuhusu Simba kuachishwa kazi na kuachia Aslay kutamba kwenye lebo hio kubwa ya Tanzania,...

Bahati dedicates Diana ‘Ten Over Ten’

Siku moja tu baada ya msanii wa gospel ambaye ndiye boss wa EMB Records kubahatika kupata mtoto, sasa ni kazi nyingine. Bahati kwenye Valentine's Day 2018 alibahatika pamoja na mke...

Willy Pozee aachia ‘Malingo’ yake sasa

Wilson Abubakar Radido maarufu Willy Paul Msafi aka Pozee ameachia dude jipya sokoni. Mkali huyo wa 'Tempted', ameachia ngoma hio mpya chini ya bonge la studio yake mpya inayosemekana...

Qboy Msafi happy birthday safi

Leo ni siku muhimu kwa msanii wa bongo fleva aliyekuwa chini ya usimamizi wa Wcb Wasafi kabla ya kuamua kufanya muziki kivyake. QBoy Msafi mkali Mugacherere, amebahatika kusherehekea matukio mawili...

Diamond to step down for Aslay as WCB star!

Wah!! Balaa hili limezuka kwenye mitandao kuhusu vita vya wana WCB Wasafi. Haya yote yametokea punde baada ya msanii Diamond Platnumz ambaye yupo chini ya lebo hio kubwa ya muziki...

Picha: Bahati na Diana wapata Mtoto

Bahati msanii wa gospel Kenya leo siku muhimu kwake na mwenzake Diana Marua. Msanii huyo amefunguka kuhusu bahati yake kubwa kwenye siku hii ya Valentine's Day 2018, kujaaliwa kupata mtoto...

Madini Classic avujisha wimbo ‘Halima’

Kutoka Serian Music ambapo msanii mmoja anayewakilisha Pwani ya Kenya, sasa habari mpya hii. Madini Classic aka Handsome wa Maghettoni amefunguka na kuambia Mkazivae wa Mitego Sasa kuwa muziki waka...

Recent Posts

X