Sunday, December 17, 2017
Home Burudani

Burudani

Ni mkusanyiko wa taarifa mbalimbali za burudani kutoka Afrika Mashariki.Karibu!!

“Nipe Nguvu Mungu”-Baraka Da Prince

Dah! Msaibu ya wasanii ni mengi kwenye dunia ya muziki. Baraka Da Prince amefunguka kuhusu masaibu yake ambapo anamuomba Mwenyezi Mungu ampe uwezo na nguvu za kupambana na hali yake. Mkali...

Mtangazaji wa Ebru TV adai wazazi wake wako tayari kulipa jamaa atakayemuoa

Aliyekuwa mtangazaji wa runinga ya Ebru Kamene Goro amewashangaza mashabiki wake baada ya kudai kuwa mahari imetangazwa kwa nia ya kumwoza. Kamene aliyewachanganya watu kwenye Instagram alisema kuwa wazazi wake walikuwa tayari kumlipia mahari...

Migori Music Awards here for you 

Kila mcheza kwao hutuzwa na utunzwa msemo wa wahenga. Usikose basi kujumuika kwenye bonge la tuzo za kaunti ya Migori za kutuza wasanii na vipaji mbalimbali. Wahi mapema ununue tiketi yako...

Picha: Power Qrew Modern Dance winners

Mitego Sasa imekusogezea washindi mara mbili wa mashindano ya sanaa ya vyuo na taasisi mbalimbali nchini. Power Qrew nikundi la waigizaji hodari kutoka taasisi ya mawasiliao ya KIMC South B...

Picha: Mrisho Mpoto amsuta Afande Sele

Leo tarehe 9 Disemba imekuwa siku ya kuzaliwa ya mwanzilishi wa hii blog ya Mitego Sasa, Mkazivae Unit. Hata hivyo imekuwa siku kuu kwa wananchi wa Tanzania kusherehekea miaka 56...

Ommy Dimpoz amtania Idris Sultan kisa picha ya Uchi

Dah! Wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Ferao! Mwigizaji wa bongo movie amezidisha mbwembwe kwenye mitandao ya kijamii. Idriss Sultan baada ya kutwaa tuzo ya Swahili Fashion Cultural Week 2017, basi...

Ommy Dimpoz amtania Idris Sultan kisa picha ya Uchi

Dah! Wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Ferao! Mwigizaji wa bongo movie amezidisha mbwembwe kwenye mitandao ya kijamii. Idriss Sultan baada ya kutwaa tuzo ya Swahili Fashion Cultural Week 2017, basi...

New Video: (Black Bottle Boys)- Diamond ft Rick Ross [Waka Waka]

Mwaka huu mara 'Simba' wa Madale amenguruma si haba! Diamond Platnumz aka Simba anazidi kunguruma kwani hataki mchezo kazini na mara hii ameachia ngoma tatu kwa mpigo. Platnumz ameachia video ya...

Bahati [Lala Amka]-New music

Msanii wa gospel Kenya maarufu kama Bahati Kevin ameachia kazi mpya. Mkali huyo ambaye amekuwa kwenye game kwa miaka sasa anazidisha kutanua wigo kwani amefanikiwa kushinda matuzo kadhaa huku alipiga...

Picha: Idriss Sultan atupia picha uchi 

Mchekeshaji huyu wa bongo movie amekuwa gumzo kweli mitandaoni. Idris Sultan alishadaiwa kuwa kwenye penzi nzito na mwigizaji mwenzake Wema Sepetu. Msanii huyo baada ya kushinda tuzo ya Swahili Fashion...
605FansLike
0FollowersFollow
857FollowersFollow
558FollowersFollow
149SubscribersSubscribe

Recent Posts