Sunday, December 17, 2017
Home Burudani

Burudani

Ni mkusanyiko wa taarifa mbalimbali za burudani kutoka Afrika Mashariki.Karibu!!

Diamond ft Rick Ross World Collabo

Simba wa Madale kutoka nchini Tanzania amezidi kutanua wigo kwenye tasnia ya muziki wake na sasa amekita kambi zaidi ugaibuni pande za Marekani. Msanii huyo wa bongo fleva amekuwa na...

Kelele Takatifu bado ipo asema Moji Short Baba

Muziki umekuwa na mabadiliko mengi yanayoleta uchangamfu wa sanaa lakini pia kutia changamoto kwa kila msanii. Wasanii wengi wemekuwa wakijiunga makundi au bendi ili kufanikisha kazi nzuri zenye adhi...

Zari amkana Diamond Platnumz Tanzania

Mwanamitindo ambaye pia ni mfanyabiashara nchini Afrika Kusini ametua nchini Tanzania na mara hii sio kumwona tena Diamond Platnumz kwani waliachana kisa kusalitiwa kimapenzi na msanii huyo wa bongo...

“I’m done with Tanzania people”- Zari 

Dah! Kimenuka maeneo ya mitandaoni kwenye akaunti za watu na wapenzi wenye majina maarufu wenye wafuasi wengi kutokana na hali ya kutoelewana kwenye mahusiano yao hivi karibuni. Diamond Platnumz ni...

“Siwezi kuacha dem yangu na Diamond Platnumz”-Sudi Boy

Leo studioni msanii wa muziki wa mapenzi ameazindua ngoma mpya na ambayo ni gumzo mno kwenye mitandao ya kijamii kutokana na uwezo wake mkubwa wa kutunga mashairi makali kutoka...

Zari akubali kuendeleza maisha na Diamond

Kimya kimevunjwa sasa baada ya Zari kufunguka ya moyoni kuhusu hali yake na mpenzi wake Diamond Platnumz. Mfanyabiashara huyo amezungumzia hali ya Diamond kupata mtoto wa kiume na video...

Hamisa Mobetto: “Mwenye nyumba kaja ndani”-Zari

Siku chache baaada ya Diamond Platnumz kukiri kuwa mtoto wa kiume wa Hamisa Mobetto ni wake, yameibuka mapya baada ya ugomvi kati ya wapenzi wake Diamond, Zari na Hamisa. Baada...

Willy Pozee abainisha kuacha muziki wa gospel

Msanii wa nyimbo za injili Kenya amebainisha wazi kuwa mtindo wa muziki wake sasa ni wa kidunia wala sio gospel tena. Msanii huyo ambaye kwa sasa amechukua headlines kupitia...

Farry Sasha kipaji kipya Eldoret

Kutoka Eldoret Kenya ni kipaji kipya cha msanii chipukizi mahiri kwa michano. Mitego Sasa Blog imefumbua mwanadada mwenye uwezo wa kuimba na kurap kwa mpigo. Farry Sasha ameachia ngoma moja matata...

“Fuck The OGs”- Mike Roller Wakuu bifu na Khaligraph Jones

Dah! Balaa hii kwake msanii wa hip hop rap Kenya baada ya bifu la kupanga na mchekeshaji Eric Omondi sasa ameingia bifu kubwa msanii mkali wa 'Wachana Na Wao'...
605FansLike
0FollowersFollow
857FollowersFollow
558FollowersFollow
149SubscribersSubscribe

Recent Posts