Sunday, December 17, 2017
Home Burudani

Burudani

Ni mkusanyiko wa taarifa mbalimbali za burudani kutoka Afrika Mashariki.Karibu!!

Video: Diamond Platnumz ft Omarion [Sweet Love]

Diamond Platnumz aka Simba wa Madale ameonekana kuachia kazi mpya na msanii mwingine wa Marekani. Mkali huyo wa bongo fleva 'Eneka' aliachia collabo na wakali wa reggae Marekani, Morgan Heritage...

Willy Paul reveals Huddah Monroe & Vera Sidika tempt him in New song

Pulse Music Video Awards Male Artiste of the Year Willy Paul says girls have been tempting him sexually. Among those is Vera Sidika and Huddah Monroe. Admitting his weaknesses in his new...

Picha: Power Qrew Modern Dance winners

Mitego Sasa imekusogezea washindi mara mbili wa mashindano ya sanaa ya vyuo na taasisi mbalimbali nchini. Power Qrew nikundi la waigizaji hodari kutoka taasisi ya mawasiliao ya KIMC South B...

Zarina Hassan throws shade back at fans

Zarina Hassan is throwing shade back at fans who’ve been hating on her everyday selfie life. Many have been ranting and whining about how she ‘joy rides’ at work, saying that the...

“Nipe Nguvu Mungu”-Baraka Da Prince

Dah! Msaibu ya wasanii ni mengi kwenye dunia ya muziki. Baraka Da Prince amefunguka kuhusu masaibu yake ambapo anamuomba Mwenyezi Mungu ampe uwezo na nguvu za kupambana na hali yake. Mkali...

Migori Music Awards here for you 

Kila mcheza kwao hutuzwa na utunzwa msemo wa wahenga. Usikose basi kujumuika kwenye bonge la tuzo za kaunti ya Migori za kutuza wasanii na vipaji mbalimbali. Wahi mapema ununue tiketi yako...
video

Stream Willy Paul – Tempted(official video)

Watch brand New video by Willy Paul "Tempted"

Bahati [Lala Amka]-New music

Msanii wa gospel Kenya maarufu kama Bahati Kevin ameachia kazi mpya. Mkali huyo ambaye amekuwa kwenye game kwa miaka sasa anazidisha kutanua wigo kwani amefanikiwa kushinda matuzo kadhaa huku alipiga...

Ommy Dimpoz amtania Idris Sultan kisa picha ya Uchi

Dah! Wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Ferao! Mwigizaji wa bongo movie amezidisha mbwembwe kwenye mitandao ya kijamii. Idriss Sultan baada ya kutwaa tuzo ya Swahili Fashion Cultural Week 2017, basi...

Picha: Mrisho Mpoto amsuta Afande Sele

Leo tarehe 9 Disemba imekuwa siku ya kuzaliwa ya mwanzilishi wa hii blog ya Mitego Sasa, Mkazivae Unit. Hata hivyo imekuwa siku kuu kwa wananchi wa Tanzania kusherehekea miaka 56...
605FansLike
0FollowersFollow
857FollowersFollow
558FollowersFollow
149SubscribersSubscribe

Recent Posts