Sunday, December 17, 2017
Home Burudani

Burudani

Ni mkusanyiko wa taarifa mbalimbali za burudani kutoka Afrika Mashariki.Karibu!!

Part 2: Cosmus K Xtreem Awards ‘Emerging Artist Artist of the Year’

When he was in form 3 in 2009 he began his musical journey where he released his first album entitled "Angalia" this was through the help of Fm2 Studios...

Madini Classic azungumzia Ali Kiba na Wcb Wasafi

Dah! Kumbe baada ya msanii Rayvanny kutwaa tuzo ya BET 2017 huko Marekani bado kuna wasanii hawajampa jicho. BET award 2017 yake Rayvanny. Tuzo hio ambayo imetua bongo Tanzania mwishoni mwa...

Happy Birthday Spizzo Cpy !

Mitego Sasa Blog inamtakia kila kheri msanii Spizzo cpy siku njema ya kuzaliwa. a Spizzo ameshirikiana na msanii Ndanah Miqassa na Bruce Melodie kwenye wimbo wao mpya kwa jina...

Ommy Dimpoz kwenye Rockstar 4000 na yake 'Cheche'

Kutoka bongo ni habari njema kutoka Wcb Wasafi. Leo hio yake Diamond Platnumz inakuletea kazi 'Eneka' yake Simba. Habari nyingine ni kwamba aliyekuwa mshikaji mmoja wa nguvu kwa Diamond, Ommy...

Rap ya Diamond wasanii povu

Usafini bado verse ya Diamond kwenye 'Fresh Remix' ngoma yake Fid Q aka Ngosha inazidi kuponza roho za baadhi ya wasanii walengwa lakini pia kunuka kama kinyesi kwenye mitaa...

New Music Video: FANYA

Hit maker Wa ' Take It Slow' ameachia ujio wake mpya Leo Hii ili kuzidi kuteka anga na soko la  muziki na burudani. Willy Paul Msafi baada ya collabo yake...

Bahati afunga ndoa na Diana Marua

Mwimbaji wa nyimbo za gospel Kenya ambaye amekuwa akisumbua sana playlists nyingi kutokana na umahiri wake wa sanaa amefunga ndoa. Bahati amedhihirisha kuwa amefikia umri wa kujifanyia maamuzi na kujenga...

“Sipendi dance style ya Rankaddah” Jegede

Wasanii wenye aina tofauti ya uimbaji ameingia studioni na kukupakulia kazi mpya yenye ladha tele kama shabiki wa muziki mzuri hii isikupite kamwe. Msanii Jegede ameampa shavu msanii wa rap...

Ringtone, Christina Susho wanajipya tena

Mwanamuziki wa Injiki ambaye alitangaza kustaafu kufanya muziki kama miezi miwili ilikwisha anajitayarisha kukupakulia wimbo wake mpya. Ringtone amemshirikisha nyota wa ngoma za Gospel, Christina Shusho ambaye walionekana  pamoja sehemu...

Redsan asema ana collabo na Ali Kiba ya mwaka 2015

Redsan ni msanii anayefahamika kupitia muziki wake wa aina ya dancehall ambao ameufanya kwa zaidi ya maiaka kumi kwenye tasnia ya muziki nchini Kenya ni mmoja wa wasanii wachache...
605FansLike
0FollowersFollow
857FollowersFollow
558FollowersFollow
149SubscribersSubscribe

Recent Posts