Sunday, December 17, 2017

Picha: Idriss Sultan atupia picha uchi 

Mchekeshaji huyu wa bongo movie amekuwa gumzo kweli mitandaoni. Idris Sultan alishadaiwa kuwa kwenye penzi nzito na mwigizaji mwenzake Wema Sepetu. Msanii huyo baada ya kushinda tuzo ya Swahili Fashion...

Picha: Diamond na Zari wish Happy Birthday, Prince Nillan 

Duh! Wazazi wa kizazi kipya mna kazi kweli.  Yaani wazazi wamejisahau kiasi cha kutotofautisha yupi Mzazi na yupi Mtoto. Diamond Platnumz na mzazi mwenzake Zari The Boss Lady wamevunja mitandao leo...

Idris Sultan Style Icon of the year

Kutoka bongo Tanzania ni habari kuhusu tuzo za Swahili Fashion Week 2017. Tuzo hizo ambazo zimetolewa juzi amefanikiwa kutwaa tuzo msanii mchekeshaji na mwigizaji wa bongo movie. Idris Sultan ambaye ndiye...

Mwenda Pole msanii mchanga mwenye nyota kali

Wasanii wamechangamka ili kufanya kazi za kweli na kuaminishia mashabiki wao kuwa wana vipaji. Mitego Sasa imefanikiwa kumhoji msanii chipukizi ambaye anajitahidi sana kwenye game la muziki Kenya na kufumbua...

List: Mukuru Awards 5 Winners

#MukuruAwards5 FULL LIST OF WINNERS Male Music artist of the year  - Alpha Mwana Mtule Uprising Artist of the year - Bro. Yoo-kenya Beyond Mukuru - Junior Rebel Jr. Female Music Artist -...

Stella Mwangi aachia wimbo na lebo mpya

Mwanadada msanii wa kike Kenya anajivunia mwaka huu. Stella Mwangi aka STL baada ya kuachia ngoma yake 'Get Up and Go Off' amekuwa na mafanikio si haba. Mkali huyo aliwahi dili...

Picha: Rayvanny, Harmonize na wapenzi wao

Pichani ni wakali wawili wa Wcb Wasafi record lebo yake Simba, Diamond Platnumz. Rayvanny  na  Harmonize  wakiwa kwenye bata pamoja na wapenzi wao kwenye sherehe ya harusi ya Jones. Fahyma mpenzi...

Photo: Mitego meets slay queen Vera

Mitego Sasa Blog imefanikiwa kuwapiga gumzo na mmoja wapo wa wanawake wazuri wenye sifa za kike Kenya. Mwanadada huyo maarufu kama Vera Catania Di Queen nimsomi chuoni Multi Media ambao...

Mitego Sasa goes Live on Twitter with Artists 

Hey! For the first time ever your music and entertainment blog, Mitego Sasa will be live on Twitter. The decision has been made due to the public demand that we...

Picha: Dj Trevor kuandaa Migori Music Awards

Vijana wengi Kenya wanapata mwamko mpya baada ya kutambua nafasi zao kwenye jamii. Samwel Trevor aka Dj Trevor nikijana ambaye anajituma kuleta umoja na kukuza vipaji miongoni mwa vijana. Ni mzawa...
605FansLike
0FollowersFollow
857FollowersFollow
558FollowersFollow
149SubscribersSubscribe

Recent Posts