Sunday, December 17, 2017

Picha: Dj Trevor kuandaa Migori Music Awards

Vijana wengi Kenya wanapata mwamko mpya baada ya kutambua nafasi zao kwenye jamii. Samwel Trevor aka Dj Trevor nikijana ambaye anajituma kuleta umoja na kukuza vipaji miongoni mwa vijana. Ni mzawa...

Exclusive: Dj Lytmas opens up about mixtape industry

Dj Lytmas real name Merrick Owino is a Kenyan dj and we had an interview with him concerning the mixtapes-making industry and his journey through together with future plans. What have...

Abdu Kiba chini ya Ali Kiba ‘Kings Music’

Kutoka bongo ni ujio mpya wa kazi tamu kutoka kwa record lebo mpya ya msanii Ali Kiba. King Kiba amefanya ya kwake baada ya ukimya tangu mtani wake Diamond Platnumz...

Vanessa Mdee live B Club tonight 

Kwa wapenzi wa muziki mzuri na wale wa burudani leo ni siku yenu. Disemba inakaribishwa leo kwa bonge la burudani ndani ya B Club Kilimani. Vanessa Mdee msanii wa kike wa...

Picha: Octopizzo bonge la gari mpya!

Usanii umekuwa ni ajira kubwa kwa vijana bali na kuwa ni kipaji cha kujitegemea. Wasanii wengi wamekuwa matajiri kupitia vipaji vyao na ni wakati wa vijana kuchukua hatua kuhusu vipaji. Octopizzo...

Picha: Happy Birthday Ali Kiba ‘Single’ kesho!

Kutoka bongo Tanzania ni story kubwa kuhusu kaka wawili wasanii wakubwa. Ali Kiba na Abdu Kiba nindugu wa tumbo moja ambao wanafanya muziki wa bongo fleva huku Ali akiwa ndiye...

Mr Nice kubeba pesa kwa boot ya gari!!

Msanii mkongwe wa bongo fleva Tanzania amefunguka kuhusu kuishi Kenya. Mr. Nice ameambia Planet Bongo ya East Africa Radio kuwa ilibidi alimbilie Kenya baada ya kuona wabongo hawatambui thamani yake...

Susumila kazimikia Nyota Ndogo!! 

Dah imedhihirika wazi issue Moja ya mahusiano ya mapenzi yake msanii mmoja kutokea Pwani ya Kenya. Susumila aka Yusuf Kombo mkali wa  'Tawire' ngoma yake mpya, amesemekana kuwa aliishia kumzimia...

‘Obama’ kuwa raia Tanzania

Christian Bella aka Obama msanii wa kizazi kipya kuchukua uraia wa Tanzania. Mkali huyo wa nyimbo kibao za mtindo wa bongo fleva ni mkongoman yaani raia mzawa wa DRC Congo...

Mr Seed ft Size 8 Reborn [Simba Wa Yuda]- New Video

Wasanii wa lebo ya muziki ya EMB Records take Msanii Bahati wamezidi kuchangamsha game. Ni punde tu baada ya msanii mmoja chini ya lebo hio kuachia ngoma mpya kwa jina...
605FansLike
0FollowersFollow
857FollowersFollow
558FollowersFollow
149SubscribersSubscribe

Recent Posts