Saturday, January 20, 2018

Tunda Man na Matonya na ngoma mpya-‘Ugomvi’

Wanamuziki hao wa nchini Tanzania walihusika kwenye ugomvi kwa kipindi kirefu sana na kufanya mashabiki wao wasielewe kunani. Baada ya bifu yao kumalizika, Tunda Man na mwenzake wa karibu Matonya,...

Diamond Platnumz ana Tuzo nyingine ya MTV EMA 2015

Usiku wa tarehe  Octoba 25 mwaka 2015, mkali wa Bongo Flava kutoka Tanzania aliibuka kidedea na ushindi wa tuzo za Mtv Ema 2015 kwenye kitengo cha  "Best Word Wide...

Chameleone kuwasaidia wasanii wachanga kwa sababu hii

Hii ndio cover photo ya ngoma anayoshirikishwa na msanii wa Tanzania, Barnaba na kutoa dhamira yake kuwasaidia wasanii wachanga kwani yeye alipokuwa akiibukia kwenye soko la muziki wasanii wakubwa...

Diamond Platnumz kwenye Tuzo za MTV EMA MILAN usiku wa leo.

Baada ya kuzoa tuzo 3  huko Texas Marekani kwenye tuzo za AFRIMMA 2015, Bado Diamond anazidi kukuza jina la Afrika Mashariki kwani leo yuko Italia kwenye tuzo nyingine. Tuzo...

Bonge la SHOO katika Kenya Mass

Tamasha la kiukweli kwenye Taasisi ya mawasiliano (KIMC), kwenye jukwaa ni Deejay E na kundi la wanenguaji viuno kwenye Burudani la kukata na shoka. Kundi la waigizaji wa chuo cha...

Mbwembwe za bonge la Tamasha na wana Ebru Africa Tv

Hii ndio show ambayo imefanyika katika Taasisi ya Mawasiliano nchini Kenya (KIMC). Watangazaji kutoka kituo cha Televisheni cha Ebru Tv leo hii wamesababisha yote hayo kuanzia muda wa saa...

Kila Jumamosi ni siku ya kuwapa wasanii chipukizi nafasi kuskika na kazi zao.

Kama kawaida ya kipindi cha Ukumbi wa vijna katika kituo cha Radio cha ECN RADIO 99.9FM, huwa nafasi wasanii kupenya katika soko la muziki na kufikia mashabiki wao kupitia...

Kwa Habari zote za muziki, burudani na maisha ya mastaa!!

Halloo...welcome to this website that will make your updated with the latest and trending news and storie..
612FansLike
1FollowersFollow
857FollowersFollow
564FollowersFollow
175SubscribersSubscribe

Recent Posts