Monday, February 26, 2018

Video: Belle 9-Burger Movie Selfie

https://youtu.be/nEgBQBNeYDQ Tazama Video ya Belle 9, ngoma inaitwa "Burger Movie Selfie". Audio imefanywa na Producer Tiddy Hotter na Video kuongozwa na Director GQ. Download na ujienjoy na kichupa hiki kizuri.    

Mapenzi maji ya moto..Wema afuta picha zote za Idris kwenye Instagram

Kati ya vitu ambavyo hungeweza kutegemea kwenye uhusiano wa kimapenzi baina ya mshindi wa BBA Afrika Idris Sultan na mwigizaji aliyekuwa Miss Tanzania, Wema Sepetu ni kuuvunja uhusianao wao. Wawili...

msanii Ray C akumbwa na upungufu wa kifedha hadi anashindwa kumudu gharama ya maisha...

Msaani wa muziki wa Bongo Fleva Rehema Chalamila "Ray C",amesema hali yake inazidi kuwa mbaya hadi anashindwa kugharamia maisha yake. Ray C ambaye anaendelea kupata tiba ya methadone katika hospitali...

Video: Sultan King-Shikilia

https://youtu.be/xS5dUNAq34Q Video mpya ya msanii Sultan King, wimbo unaitwa "Shikilia"audio imetengenezewa ISLAND RECORD producer ni ALONEYM. Video imefanyiwa "KWETU STUDIOS" directed by MsafiriShabani.

WAWANIAJI WA BALLON D’OR 2015

Majina ya wachezaji wanaowania kutwaa ushindi wa mchezaji bora wa mwaka,Ballon d'Or 2015 yamepunguzwa hadi majina matatu. Uamuzi huo umefanywa na FIFA siku ya jumatatu kutoka kwa majina 23 yaliyokuwa...

Jmw@t atarajia kurejesha sifa zake kwenye Muziki

Kisa cha ajali ya barabarani kilichotokea takribani miaka miwili iliyopita kilimfanya msanii huyu kudidimia kwenye tasnia na soko la muziki. Jmwa@t ambaye amekuwa kimya kwa miezi sita kufutia ajali hio,...

Wema Sepetu ajitabiria kifo chake

Mwigizaji wa filamu na pia miss Tanzania wa zamani amefunguka na kusema siku ya kifo chake inakaribia licha ya kuwa sio watu wengi wa ujasiri wa kuzungumzia masuala ya...

Collabo ya Diamond na Wizkid yaja

Diamond Platnumz amefanya collabo na kila msanii mkubwa nchini Nigeria. Amefanya ngoma na P-Square, Davido, Iyanya,Waje, Kcee,Bracket, Flavour na wengine lakin bado hajafanya kazi na msanii Wizkid Baada ya Wizkid kufanya...

Wizkid atumbuiza Dar na kuahidi shoo ya bure..

Msanii wa Nigeria aitoa burudani ya nguvu jijini Dar es Salaam jumamosi ya 31 oct.2015 na kwa mapokezi aliyopokezwa na wana Dar, ilibidi ahidi shoo ya bure jumapili iliyofuatia...

Recent Posts

X