Sunday, February 25, 2018
Home Muziki

Muziki

Habari kuhusu Muziki na waimbaji tofauti

Nyashinski valentine’s ‘Bebi Bebi’

Leo ni siku kubwa kwa wapenzi wapendanao na wapenzi wa muziki. Nyashinski msanii wa hip hop rap Kenya ameachia hit kali kwenye Valentine's Day 2018, baada ya kufanya vizuri na...

Khalighraph Jones ft Petra in New ‘Rider’

Hii nayo mpya kutoka kwa mkali wa Mazishi ambaye anafahamika kupitia mchano yake balaa. Khalighraph Jones aka Papa Jones ameachia ujio mpya collabo na Petra. Mkali huyo wa Nataka Hio Doh,...

Chindo Man, Rayvanny na ‘Mama Lao’ mpya

Fahamu msanii huyu wa bongo Tanzania anayetesa mitandao kwa sasa. Chindo Man amekubalika kwenye game la muziki baada ya kuachia album na single kadhaa moto kama vile Fungulia Maubwa. Mkali...

Matonya ameleta ‘Kiherehere’ mpya sasa

Kutoka bongo Tanzania ni wimbo mpya balaa mitaani. Baada ya kuhamia nchini Kenya msanii huyo wa bongo fleva amekuwa matata zaidi kwenye muziki licha ya kuzama kwenye game kwa muda...

“Willy Pozee alianza na Moyo sasa anamalizia na Mwili”- Gemstone Reborn

Dah! Leo Jumapili Willy Pozee amepashwa makali yake na msanii mmoja wa secular music. Msanii huyo anayetaja kitendo cha Willy Paul kuchanganya gospel music na secular kama uhuni, amesema kuwa...

Patoranking’s Available makes Clearance the most able Director

Kutoka Nigeria ni video moto ya msanii matata nchini humo ambaye anatikisa dunia kwa ukali wake. Patoranking ambaye ameachia hits kadhaa na baadhi ya wasanii wa Afrika Mashariki kama Diamond...

Bebe Cool new release ‘I Want It’

Kutoka Uganda ni kazi mpya kutoka kwa mkali wa muziki kutoka zamani. Msanii huyo mkongwe ameachia hits kibao kwenye game la muziki Afrika Mashariki na duniani na kupata wafuasi wasio...

‘Nimekuzoea’ Mbosso wa Wcb Wasafi

Its another one from auta Wasafi records Tanzania. Ni msanii chini ya Wcb Wasafi ambaye boss wake ni Simba aka Diamond Platnumz. Mbosso baada ya kuachia 'Watakubali' sasa shipa jipya limedunda...

Aslay na King Kaka wafanya ‘Makusudi’

Kutoka Kaka Empire ni muziki mpya ambao kwenye East Africa umetawala kwa sana. King Kaka mkali wa Mistarillionaire ameachia collabo moto pamoja na mkali wa bongo fleva, Aslay Isihaka. Wawili hao...

New Music: [Mungu Yupo]- Pure James

Je unafahamu kuwa muziki umekuwa kwa kasi sana pande za Ukambani na kutoa wasanii matata sana kwenye game la muziki Kenya kama Kush Tracey! Basi fahamu na huyu dogo...

Recent Posts

X