Saturday, December 16, 2017
Home Muziki

Muziki

Habari kuhusu Muziki na waimbaji tofauti

Size 8 Reborn: [Hallelujah]-Video mpya!!

Msanii wa muziki wa injili nchini Kenya na ambaye aliwahi kuwa kwenye muziki wa kidunia yaani secular music kabla ya kufunga ndoa na Dj Mo ambaye pia ni mtumishi...

Harmonize: [Nishachoka] Wimbo mpya

Harmonize msanii wa Wcb Wasafi amefungua roho na kusema ya moyoni kuhusu mahusainao yake ya kimapenzi. Msanii huyo amekuwa akizungumzwa sana baada ya kumtema mpenzi wake ambaye pia ni...

Lyrics: Ommy Dimpoz -[CHECHE]

Ninawaza ni yule yule au nimeona mzimu Ulivyonipita kwa kasi ya 4G Nilikuja nikusalimu Simu nilipotezaga Umenishow madharau najuta Nayakumbuka yale mapele nakukuna Umejisweka kwenye shuka Unaona aibu leo mashallah Marembo ya china unayovaa Kwa huo mkorogo ulivyongaaa Umejichubua...

Ney wa Mitego: [Makuzi] wimbo mpya

Muziki mpya kutoka kwa msanii wa hip hop Tanzania umedondokoka kutoka kwa lebo yake ya muziki 'Free Nation Records' na sasa unatesa kwenye mitandao kibao ya kijamii. Ney Wa Mitego...

Ali Kiba: [Seduce Me] Video mpya

Recording Label ya Rockstar 4000 ambayo yumo msanii wa bongo fleva Ali Kiba imeachia wimbo wa msanii huyo mpya ambao ulitegemewa kuitwa 'Kipusa' lakini unakwenda kwa jina la 'Seduce...

Timmy T’Dat ft Otile Brown kaiba ‘Wenge’ ya Spizzo na Bandanah

Mapya ya utapeli wa muziki yamebainishwa na sasa hali ni tete kwani wasanii maraufu kwa muziki nchini Kenya wanadaiwa kuiba ngoma ya wasanii chipukizi. Wimbo 'Wembe' wake Timmy T Dat...

Lyric: Harmonize -[Happy Birthday]

Verse 1 Kwanza nina furaha, Nitaimba na kucheza (na kucheza) Washa mishumaa, Weka keki juu ya meza, (juu ya meza) Oh ila usinicheke, Nimekuletea zawadi, Kidogo nilichobarikiwa Haki mwana mpweke, Aje na dumu la maji asije akumwagia Ah...

Lyrics: Diamond Platnumz ft Morgan Heritage [Hallelujah]

Diamond Platnumz - Hallelujah Lyrics Verse 1 - Diamond Platnumz Hata akilala ananiota Ananiita mbalamwezi Kisa na nyota Nimkande amachoka Nitembee na ulimi kote ka nyoka Mapenzi niongezee Habari niogeleee Lord have mercy Speaking from my heart Damn She is...

Mercy Myra ft Khaligraph: [MALO]-Video mpya

Khaligraph Jones aka Papa Jones licha ya kuwa anafanya makamuzi ndani ya Coke Studio bado yupo chonjo kwenye game la muziki wake ili kuzidi kupenya na kuuza kazi zake...

Lyrics: Ali Kiba- [Seduce Me]

//pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js (adsbygoogle = window.adsbygoogle || ).push({}); Chorus Do not do like that i'm too smart dada Seduce me like what a hell (ah hold up) What the hell Don’t do like that...
605FansLike
0FollowersFollow
857FollowersFollow
558FollowersFollow
148SubscribersSubscribe

Recent Posts