Saturday, December 16, 2017
Home Muziki

Muziki

Habari kuhusu Muziki na waimbaji tofauti

Ali Kiba: [Seduce Me] Video mpya

Recording Label ya Rockstar 4000 ambayo yumo msanii wa bongo fleva Ali Kiba imeachia wimbo wa msanii huyo mpya ambao ulitegemewa kuitwa 'Kipusa' lakini unakwenda kwa jina la 'Seduce...

Harmonize ft Korede Bello [Shulala]-Video mpya

Ngoma yake Harmonize amabyo ameshirikisha msanii kutoka nchini Nigeria, Korede Bello imekuwa gumzo mitaani na pia mitandaoni kutokana na unifu wake. Msanii huyo chini ya Wcb Wasafi alimshirikisha mkali huyo...

The Winner [Umuvugizi]- New music 

Kutoka Kigali Rwanda ni msanii chipukizi ambaye anajituma mno kutamba. Msanii ameachia nyimbo nyingi za gospel mpaka sasa huku akijituma kupiga shows mataifa mbalimbali kama vile juzi amekuwa Uganda. The  Winner...

Size 8 Reborn: [Hallelujah]-Video mpya!!

Msanii wa muziki wa injili nchini Kenya na ambaye aliwahi kuwa kwenye muziki wa kidunia yaani secular music kabla ya kufunga ndoa na Dj Mo ambaye pia ni mtumishi...

BEKA FLAVOUR: [UMENIMALIZA]-Muziki mpya

Beka Flavour baada ya kutesa anga za burudani kupitia muziki wake Libebe, Sikinai sasa ana dude jipya 'Umenimaliza'

Ney wa Mitego: [Makuzi] wimbo mpya

Muziki mpya kutoka kwa msanii wa hip hop Tanzania umedondokoka kutoka kwa lebo yake ya muziki 'Free Nation Records' na sasa unatesa kwenye mitandao kibao ya kijamii. Ney Wa Mitego...

Lyrics: WCB Artists-[Zilipendwa]

//pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js (adsbygoogle = window.adsbygoogle || ).push({}); WCB Artists - Zilipendwa Lyrics INTRO Ooh, izo ni zama za kale, Ohh, sanguro na pepe kalee Zilipendwa //pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js (adsbygoogle = window.adsbygoogle || ).push({}); Rayvanny Eeh kizamani, kutoa...

CHRIS BROWN DROPS “HEARTBREAK” ALBUM DELUXE VERSION WITH 57 TRACKS: LISTEN

Chris Brown delivered a Christmas gift for his fans when he debuts the deluxe version of Heartbreak on a Full Moon. The deluxe version of the album is titled “Cuffing Season – 12...

Naiboi [I Wanna Be]- New video

Mkali wa mukizi wa rap Kenya ambaye pia ni producer wa Pacho Entertainment, ameachia ngoma mpya. Naiboi mkali wa 'Problem' ameachia ngoma hio mpya hapo jana Ijumaa na sasa imepokelewa...
Patoranking na Diamond

Kumbe Pataronking na Diamond kaiba beat !!

Msanii chini ya lebo ya Nigeria 'Chocolate City' ameibuka na reopoti za kuibiwa beat na melodies za wimbo wake aliouachia mapema January mwaka huu wa 2017. Msanii huyo amewashtumu...
605FansLike
0FollowersFollow
857FollowersFollow
558FollowersFollow
148SubscribersSubscribe

Recent Posts