Sunday, December 17, 2017
Home Muziki Lyrics

Lyrics

Hapa ndipo kutakuwa na lyrics za miziki yote ya east Africa......

Lyrics: Patoranking ft Diamond Platnumz -[Love You Die]

//pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js (adsbygoogle = window.adsbygoogle || ).push({}); Patoranking Weeeeeseeee. Make a money was the planning and we go get a plan from jagaban Girl I hold you so you down Anytime that you feeling...

Lyrics: Fid Q ft Diamond & Rayvanny -[Fresh Remix]

Fid Q Nikipata cash nakuwa fresh kama cucumber Nikiwa na dash nakuwa mjeshi bila full ngwamba Kwenda resi sioni kesi Mr Kubanda Nikijiset sikwepeshi naweka juu chanda Sio mtu wa kila mtu ila...

Lyrics: Fd Boy -[Subiria]

Verse 1. Ona siri za nyumbani, nazimwaga zote hadharani.. yote kisa ni visenti, vimenichanganya hata sioni.. nlipokwacha sikudhani, nitakuja iwe balaa.. Mara kesi mitaani, Mara mama kulalama.. sija sahau ya kiapo,  wala sijakuwa kichaa.. nili...

Lyric: Harmonize -[Happy Birthday]

Verse 1 Kwanza nina furaha, Nitaimba na kucheza (na kucheza) Washa mishumaa, Weka keki juu ya meza, (juu ya meza) Oh ila usinicheke, Nimekuletea zawadi, Kidogo nilichobarikiwa Haki mwana mpweke, Aje na dumu la maji asije akumwagia Ah...

Lyrics: Ommy Dimpoz -[CHECHE]

Ninawaza ni yule yule au nimeona mzimu Ulivyonipita kwa kasi ya 4G Nilikuja nikusalimu Simu nilipotezaga Umenishow madharau najuta Nayakumbuka yale mapele nakukuna Umejisweka kwenye shuka Unaona aibu leo mashallah Marembo ya china unayovaa Kwa huo mkorogo ulivyongaaa Umejichubua...

Lyrics: Diamond Platnumz -[ENEKA]

-ENEKA- Ooh na aha agah When i say i love you real means true Agah Eneka mi nakupendaga oho nan The only thing i have in my life is you Asa Chomeka nyavuvi uvue...

Lyrics: Dully Sykes ft Harmonize -[INDE]

Intro Eyo Laizer Handsome Prince Dully Sykes Brotherman Oyaa Harmonize Wasafi Records Verse 1 - Harmonize - Si sura tu bali shape na tabia Alivyobarikiwa ah Shala mola Amemwumba mi roho juu Akiniangalia moyo unatulia Ni uzuri mwakalonga - Dully sykes - I...

Lyrics: Lava Lava -[Tuachane]

Intro Wasafi Aiyo Lizer Aaaaah aaaah aaaaah aaaah Aaaaah aaaah aaaaah aaaah Wasafi Records Aaaaah aaaah aaaaah aaaah Verse 1 Kama imeshindikana kunirudia isiwe taabu Usiuforce moyo kupenda usipostahili Ya nini kung’ang’ania nishachoka kuwekwa sub Siwezi ooh...

Lyrics: Queen Darleen ft Rayvanny -[KIJUSO]

Intro Eyoo Laizer Wasafi Records Verse 1 - Unaringa kitu gani we mwenyewe ujisute Afadhali hata Nyani sio we Mwanamke Hupendezi asilani so unyoe au usuke Nilifuata kitu gani umefanya nijute Hah Mimi nakonda pungua eeeh na...

Lyrics: Vanessa Mdee ft MrP -[KISELA]

Intro Upendo wote kwako, Ila hukuthamini bado. Mmmmmh hmmm Verse 1  Haya mapenzi basi ya kisela Leo raha kesho wanisema Haya mapenzi basi ya Kisela Leo raha kesho wanikera Haya mapenzi basi ya kisela Si ulisema kamwe huto nitenda Moyo...
605FansLike
0FollowersFollow
857FollowersFollow
558FollowersFollow
149SubscribersSubscribe

Recent Posts