Saturday, December 16, 2017

Lyrics

Hapa ndipo kutakuwa na lyrics za miziki yote ya east Africa......

Lyrics: Diamond ft Tiwa Savage -[FIRE]

Diamond Platnumz Aga, you’re my sexy arose eh Utamu zaidi ya vanilla Yaani cookie wa mose Kama pochi na ngawila Sa nipatie dose eh Kasi itaja nipalila Usinifanyie ya jose eh Tange tange kajamila I say, you fire...

Lyrics: Harmonize -[SINA]

Verse 1 Ujana ni maji ya moto yashaniunguza mimi nataketea (Youth is hot water , I have burned and i am lost) Niliwakana watoto wangeniuguza sikutegemea (I abandoned my childen ,they took...

Lyrics: Roma Mkatoliki -[Zimbabwe]

Wimbo mpya wa Roma  Mkatoliki? Roma Mkatoliki. ?Wengi mlijiuliza waloniteka ni Askari Mkanitafuta vituo vyote central hadi Staki shari Wakasema hawajui nilipo mama alienda hadi mochwari. (Daaaaah) Ya kaisari muachie kaisari ,machozi yenu yatalipwa Mi nafunga...

Lyrics-Diamond Platnumz [Eneka]

Kali kutoka bongo Tanzania wimbo wake staa wa muziki, Diamond Platnumz. Wimbo huo kwa jina 'Eneka' wenye lafudhi ya ki Nigeria umetisha sana na hapa nakusogeze mashairi yake. Tazama na...

Lyrics- Diamond ft Tiwa Savage [Fire]

Wimbo wa Diamond aliyomshirikisha staa wa Nigeria, Tiwa Savage umesumbua sana kwenye media na kumbi za burudani. Sasa fahamu maana ya wimbo huo 'Fire' kupitia mashairi yake hapa chini; ...

Lyrics-Darasa ft Ben Pol [Muziki]

Haya hapa mashairi matu ya wimbo uliovuma na kuwa hit song kwa muda mrefu Afrika Mashariki. Darasa alimshirikisha msanii wa RnB bongo, Ben Pol kwenye wimbo huo 'Muziki'. Tazama lyric...

Lyrics-MwanaFA ft Vanessa Mdee [Dume Suruali]

Hizi hapa lyrics au mashairi kwenye wimbo wa wasanii matata wa bongo fleva Tanzania. MwanaFA ft Vanessa Mdee aka VMoney. Tazama kwenye link hapa chini; https://youtu.be/McMSFjZJbsI
605FansLike
0FollowersFollow
857FollowersFollow
558FollowersFollow
148SubscribersSubscribe

Recent Posts