Saturday, December 16, 2017
Home Muziki Page 13

Muziki

Habari kuhusu Muziki na waimbaji tofauti

Je Vinnho ametosha mboga au hatoshi mboga?

Dii ndio mziki yake ya pili (I wanna live by Vinnho) baada ya kutamba na Designer ambayo ilimpa jina yake ya pili ya utani "Designer">> https://www.youtube.com/watch?v=1C7gNJ16Ukg&t=25s Na hiyo ndiyo gari...

Harmonize [SINA] Video mpya

Harmonize ni mkali wa bongo fleva chini ya WCB Wasafi ameachia ujio mpya baada ya kuachia 'Matatizo, Niambie' sasa ni 'Sina'. Video hio ambayo imeachia jana tarehe 27, July 2017,...

Joh Makini ft Davido [Kata Leta] Video mpya

Tazama video mpya collabo ya msanii wa Tanzania, Joh Makini pamoja na Davido wa Nigeria. Inaitwa 'Kata Leta' Hii hapa link>>https://www.youtube.com/watch?v=sfVamQdgkNw MITEGO SASA TV, Subscribe Link>https://goo.gl/veB4QG

New Video: 'Aiyolela'- Otile Brown

Otile brown kadondosha ngoma mpya 'Aiyolela'. ​Brown ni msani wa hapa Kenya aliyetamba ni hits kali kama vile 'Pakate' na 'Niseme nawe' aliyomshirikisha Baraka de prince kutoka Tanzania (Bongo). ​ ​ Pata kuitizama kazi hii,bonyeza...

New Song: 'Maulana'- Sudi Boy

Mombasa Finnest Sudi Boy karudi tena kwa kasi. Hii ni baada ya kuachia vibao kadhaa huu mwaka wa 2017 ikiwemo 'Kidonda' ​ Sudi, ni msani mwenye mistari ya kuvutia na yenye aina...

New Song: 'Muziki Majanga'- Dogo Richie

​Mkali wa 'Yoyobah' Dogo Richie Aka Richy Richie awachana wasanii wenzake kwa nyimbo yake mpya. Hii imeleta gumzo na hisia mbali mbali kwa wasikilizaji pamoja na wasanii kwa ujumla. ​ Dogo Richie anayesimamiwa...

Watch "Chege Feat. Diamond Platnumz | Waache Waoane | Of…" on YouTube

Chege Feat. Diamond Platnumz | Waache Waoane | Of…: http://youtu.be/bBnzibFy0WE Watch, Share and Comment. Mkazivaeunit

New Music: KOMELA

Muziki katika kanda ya Afrika Mashariki umeshika kasi mno kwani ni dhahiri kwa kuona kila kukicha kazi mpya kutoka kwa wasanii wakitambo kwenye Game lakini pia wengine chipukizi. Dayna Nyange...

Mbuvi 'Its Our Season'

Mwimbaji wa muziki wa aina ya 'Gospel' na ambaye ametamba sana kupitia ngoma zake zenye maadhi mazuri ya Kikamba amakuja na jipa tena. Mbuvi ni mkenya mzalendo mwenye kipaji na...
605FansLike
0FollowersFollow
857FollowersFollow
558FollowersFollow
148SubscribersSubscribe

Recent Posts