Sunday, February 25, 2018
Home Muziki Page 15

Muziki

Habari kuhusu Muziki na waimbaji tofauti

Lyrics-MwanaFA ft Vanessa Mdee [Dume Suruali]

Hizi hapa lyrics au mashairi kwenye wimbo wa wasanii matata wa bongo fleva Tanzania. MwanaFA ft Vanessa Mdee aka VMoney. Tazama kwenye link hapa chini; https://youtu.be/McMSFjZJbsI

Janet Otieno afunua ngoma mpya ‘Shuka’

  Janet Otieno msanii maarufu kupitia kazi zake nyingi za kumsifu Mungu, ametambulisha ujio wake huo mpya ndani ya Radio Maisha, Maisha Concert Friday kipindi cha Alex Mwakideu na Nick...

Producer wa Nigeria kahusika kwenye ‘Niloge’

Its another one kutoka bongo Tanzania vijana wenye harakati pevu wanakusogezea dude japya lenye ladha ya nazi kama sio karanga. Vijana hao wanaokuja kwa kasi kwenye hili game la muziki,...

D’Banj alivyosugua kwenye Koroga Festival

Nakusogezea baadhi ya picha kwenye bonge la tamasha la Koroga Festival makala ya nane(8th edition) ambayo imefanyika kwenye ukumbi wa Carnivore Nairobi. Tamasha hilo la siku mbili yaani Jumamosi na...

Wema Reborn kwenye ‘Mbeleko Cover ‘

Rayvanny anapata bonge la surprise kwenye wimbo wake wa 'Mbeleko' kwani msanii wa kike Kenya ameitendea haki. Wema Reborn mwimbaji wa gospel ameachia video ya 'Mbeleko' cover ya mkali huyo...

L-Jay Maasai ataniwa studioni Live

L-Jay Maasai baada ya fununu za kuwa kafurushwa kwenye nyumnba aliyopanga sasa amerudi na shuti moto licha ya ukimya wake kwenye game la muziki. Ni msanii wa gospel Kenya ambaye...

Ada Ehi azungumzia collabo yake na Willy Paul

Ada Ehi ni msanii maarufu Nigeria lakini pia ni msanii wa kimataifa wa gospel ambaye ametengeneza jina lake kwa muda sasa. Mkali huyo mwenye kipaji cha aina yake ametua nchini...

Je Vinnho ametosha mboga au hatoshi mboga?

Dii ndio mziki yake ya pili (I wanna live by Vinnho) baada ya kutamba na Designer ambayo ilimpa jina yake ya pili ya utani "Designer">> https://www.youtube.com/watch?v=1C7gNJ16Ukg&t=25s Na hiyo ndiyo gari...

Harmonize [SINA] Video mpya

Harmonize ni mkali wa bongo fleva chini ya WCB Wasafi ameachia ujio mpya baada ya kuachia 'Matatizo, Niambie' sasa ni 'Sina'. Video hio ambayo imeachia jana tarehe 27, July 2017,...

Joh Makini ft Davido [Kata Leta] Video mpya

Tazama video mpya collabo ya msanii wa Tanzania, Joh Makini pamoja na Davido wa Nigeria. Inaitwa 'Kata Leta' Hii hapa link>>https://www.youtube.com/watch?v=sfVamQdgkNw MITEGO SASA TV, Subscribe Link>https://goo.gl/veB4QG

Recent Posts

X