Saturday, December 16, 2017
Home Muziki Page 2

Muziki

Habari kuhusu Muziki na waimbaji tofauti

‘KHALIGHRAPH IS DEAD’ -New Music

Mwanamziki mashuhuri ambaye hamtambui Khaligraph Jones aka Yego ameamua kusema ukweli kuhusu hisia zake kwa msichana mmoja ambaye ni muigizaji wa filamu za vichekesho(upcoming artist).   Msanii Mike Rollerwakuu afunguka...

Jua Cali ft Wyre: [Vile Naskia]- New video

Ni wasanii wawili wa kongwe kwenye game la muziki Kenya ambao wamefanya makuu. Jua Kali aka Baba Yao ameshirikiana na mkali wa dancehall Wyre Da Love Child na kukupakulia uhondo...

Eddy Kenzo: [Kiseela]- New video

Msanii gwiji Eddy Kenzo kutokea Uganda ambaye ni mshindi wa tuzo kubwa ya muziki duniani ya BET. Msanii huyo 'Sitya Loss' ameachia kazi mpya kabisa inayotisha na kutesa anga kinoma. Ngoma...

Pallaso ft Vivian Kenya: [Always On My Mind]-New music 

Pallaso ameachia ngoma mpya collabo na Vivian baada yake kufanya vizuri kwenye ngoma zake kama 'Charm' yake na Jose Chameleone

Queen Darleen: [NTAKUFILISI]-Video mpya

Msanii mwanadada malkia wa WCB Wasafi Records ameachia ngoma mpya baada ya kusumbua media na wimbo 'Kijuso'. Queen Darleen alimpa shavu msanii mwenzake humo WCB, Rayvanny collabo hio ya mwanzoni na...

David Wonder: [Mtindo]- New music

David Wonder baada ya kitusua na collabo yake pamoja na boss wake Bahati 'Ndogo Ndogo', ameachia ngoma mpya 'Mtindo'. Download

Vivian: [Chingi Changa]- Official Video

Mwanamziki Vivian ameachia kazi yake mpya baada ya kutangaza kufanya hivyo siku chache zilizopita. Msanii huyo mkali wa vocals alitangulia kutangaza mabaya aliyowahi kukumbana nayo wakati akiishi kwa Ex Boyfriend...

BEKA FLAVOUR: [UMENIMALIZA]-Muziki mpya

Beka Flavour baada ya kutesa anga za burudani kupitia muziki wake Libebe, Sikinai sasa ana dude jipya 'Umenimaliza'

Madini Classic [Parachichi]- Muziki mpya

Baada ya kuweza kufanikisha cover song ya Msanii Rayvanny 'Kwetu', Madini Classic aliachia ngoma Nikaribishe, Tawire kisha ana ngoma mpya 'Parachichi'. Download video hapa.

Wahu [Sifa]-New Gospel music 

Wahu Kagwi aachia wimbo mpya mtindo wa gospel baada ya mzazi mwenzake Nameless kuachia ngoma Ohh Why ya aina ya gospel.
605FansLike
0FollowersFollow
857FollowersFollow
558FollowersFollow
148SubscribersSubscribe

Recent Posts