Saturday, December 16, 2017
Home Muziki Page 3

Muziki

Habari kuhusu Muziki na waimbaji tofauti

Naiboi [I Wanna Be]- New video

Mkali wa mukizi wa rap Kenya ambaye pia ni producer wa Pacho Entertainment, ameachia ngoma mpya. Naiboi mkali wa 'Problem' ameachia ngoma hio mpya hapo jana Ijumaa na sasa imepokelewa...

Fleyon [Miss You]- New video

Hii hapa ni video mpya kutoka kwa msanii chipukizi kutoka Kenya ambaye anajituma kuboresha kipaji chake ili nawe shabiki wake upate uhondo. Mitego imepiga story naye kuhusu ujio wake mpya...

Part 2: Cosmus K Xtreem Awards ‘Emerging Artist Artist of the Year’

When he was in form 3 in 2009 he began his musical journey where he released his first album entitled "Angalia" this was through the help of Fm2 Studios...

Selekta Ravers the Music Headmaster

Kwenye soko la muziki na burudani kuna watu wengi uhusika ili kufanikisha burudani ya aina yake. Wasanii, wanamitindo, MCs, DJs na kadhalika. Mitego Sasa Blog imepiga mmoja wa Madj wakali...

Octopizzo[Sing Along]-Video mpya

Msanii wa hip hop rapper mkali Kenya amekudondoshea ngoma mpya kali hii hapa baada ya kutesa media na mitandao mbalimbali kupitia shipa lake moto maarufu kama 'Tbt'. Octopizzo aka Kibera...

QBoy ft Mr Blue(Byser)-[Kamoyo]Video mpya

Its another one kubwa kutoka kwa producer mkali bongo Mr T Touch ambaye amesifika kinoma kupita kazi ya mikono yake ambayo hajakoseaga. Hii ni ngoma mpya kutoka kwa msanii...

Nameless new gospel song-[Oh Why] Video

Wasanii wa muziki wa secular nchini Kenya wameanza mtindo wa mageuzi kama sio mbinu ya kutafuta kiki kwenye game la muziki kwa sasa kutokana na wanachokifanya wenyewe. Huku ukistaajabu ya...

Audio: Uganda music to the next level

Fahamu msanii kutoka Ugannda anayejiamini na kuja kwa kasi zaidi kuteka soko la muziki nchini humo lajini pia Afrika Mashariki. Msanii huyo ambaye amekulia Makerere jiji la Kampala amesomea uandishi...

Rich Mavoko ft Patoranking [Rudi]-Muziki mpya

Wasanii wa bongo fleva wanazidi kutanua mipaka zaisdi kwenye soko la muziki duniani kwa juhudi zao na ubunifu mwingi kwenye nafasi wanazozipata. Wasanii wa Wcb Wasafi wamekuwa mstari wa kwanza...

Timmy T Dat ft Dela [We’ll Be Ok]- New Music

Msanii wa rap Kenya anatamba kwa style yake ya tofauti ya uimbaji ameachia kazi mpya tena collabo na msanii mkali wa kike Kenya. Timmy T Dat aka Kasabun amempa shavu...
605FansLike
0FollowersFollow
857FollowersFollow
558FollowersFollow
148SubscribersSubscribe

Recent Posts