Saturday, December 16, 2017

“Nitaachia Albamu ya mapicha sio ya ngoma”-Eko Dydda

Kumbe wapo watu ambao hula jasho lao wala hawapendi kujihusisha na mambo ya utapeli kwenye biashara zao?  Wasanii kama kioo cha jamii wanatakiwa kuwa mfano bora kwa kila mtu...

Diamond alichofanya Kampala Uganda

Diamond Platnumz alishuka jiji la Kampala mwishoni mwa wiki jana tarehe 6 Oktoba 2017 kwa ajili ya kutoa bonge la burudani kwa mashabiki wake na pia kusaidia kuchangisha pesa...

PICHA: Sherehe ya siku ya kuzaliwa ya mtangazaji Mwende Macharia

Leo tarehe kumi na mbili mwezi Septemba ni siku kubwa na muhimu kwa mtangazaji wa kike wa Konnect show ndani ya Radio Maisha ambaye anafurahia siku yake ya kuzaliwa. Mwende...

Ada Ehi azungumzia collabo yake na Willy Paul

Ada Ehi ni msanii maarufu Nigeria lakini pia ni msanii wa kimataifa wa gospel ambaye ametengeneza jina lake kwa muda sasa. Mkali huyo mwenye kipaji cha aina yake ametua nchini...

Kim Danny kuachia collabo na secular artist

Msanii wa gospel nchini Kenya ambaye anatamba kwa hits kibao kama 'Niko Salama, Nimeshinda, Hainaga Makosa' miongoni mwa nyinginezo, ameachia ngoma mpya sasa na ndio habari ya mitandaoni. Kim Danny...

Tekno Miles Live Ngong Nairobi

Mkali kutoka Nigeria anatua nchini Kenya kwa ajili ya kupiga show la nguvu na kukutana na mashabiki wake wikendi hii. Wasanii wengi wa Nigeria wakuwa Kenya kutoa burudani ya muziki...

Sababu kuu za msanii Kambua kukaa kimya kimuziki

Msanii wa gospel Kenya ameweka wazi sababu kuu za kuwa kimya kimuziki takribani miaka mitatu bila kuachia ngoma kama kawaida yake. Msanii huyo wa kike kwa jina Kambua, amezungumza na...

Shine na Mitego Rate of Fame

Wasanii mastaa na wakali kwenye industry ya muziki duniani wamekuza brand na majin ayao sio tu kwamba ni bahati bali ni juhudi zao na wadau wanaowapa mkono. Game la muziki...

Redsan first kiss at 17 years

Msanii gwiji na mkongwe kwenye tasnia ya muziki nchini Kenya amefunguka ya moyoni na kuweka wazi umri aliyowahi kiss yake ya kwanza. Redsan ni mkali wa muziki wa dancehall ambaye...

Mitego Rate Fame ndio mkombozi wa muziki

Tasnia ya muziki Kenya imepata sura mpya baada ya kuzinduliwa kwa tamasha kali la kusaka wasanii wenye uwezo mkubwa wa kuimba haswa wale wanachipukia ili kuwapa nafasi ya kung'ara...
605FansLike
0FollowersFollow
857FollowersFollow
558FollowersFollow
148SubscribersSubscribe

Recent Posts