Saturday, December 16, 2017

Diamond alichofanya Kampala Uganda

Diamond Platnumz alishuka jiji la Kampala mwishoni mwa wiki jana tarehe 6 Oktoba 2017 kwa ajili ya kutoa bonge la burudani kwa mashabiki wake na pia kusaidia kuchangisha pesa...

Redsan first kiss at 17 years

Msanii gwiji na mkongwe kwenye tasnia ya muziki nchini Kenya amefunguka ya moyoni na kuweka wazi umri aliyowahi kiss yake ya kwanza. Redsan ni mkali wa muziki wa dancehall ambaye...

D’Banj alivyosugua kwenye Koroga Festival

Nakusogezea baadhi ya picha kwenye bonge la tamasha la Koroga Festival makala ya nane(8th edition) ambayo imefanyika kwenye ukumbi wa Carnivore Nairobi. Tamasha hilo la siku mbili yaani Jumamosi na...

Diamond aka ‘Simba’ atwaa tuzo ya Afrimma 2017-Video

Tuzo za Afrimma 2017 za kuwatuza wasanii wa Afrika ili kuwapa motisha kwenye kazi zao muziki zimefanyika usiku wa kuamkia leo huko Texas Dallas Marekani ambapo wasanii wa Arika...

L-Jay Maasai ataniwa studioni Live

L-Jay Maasai baada ya fununu za kuwa kafurushwa kwenye nyumnba aliyopanga sasa amerudi na shuti moto licha ya ukimya wake kwenye game la muziki. Ni msanii wa gospel Kenya ambaye...

Shine na Mitego Rate of Fame

Wasanii mastaa na wakali kwenye industry ya muziki duniani wamekuza brand na majin ayao sio tu kwamba ni bahati bali ni juhudi zao na wadau wanaowapa mkono. Game la muziki...

Tekno Miles Live Ngong Nairobi

Mkali kutoka Nigeria anatua nchini Kenya kwa ajili ya kupiga show la nguvu na kukutana na mashabiki wake wikendi hii. Wasanii wengi wa Nigeria wakuwa Kenya kutoa burudani ya muziki...

Mitego Rate Fame ndio mkombozi wa muziki

Tasnia ya muziki Kenya imepata sura mpya baada ya kuzinduliwa kwa tamasha kali la kusaka wasanii wenye uwezo mkubwa wa kuimba haswa wale wanachipukia ili kuwapa nafasi ya kung'ara...

Ada Ehi azungumzia collabo yake na Willy Paul

Ada Ehi ni msanii maarufu Nigeria lakini pia ni msanii wa kimataifa wa gospel ambaye ametengeneza jina lake kwa muda sasa. Mkali huyo mwenye kipaji cha aina yake ametua nchini...

Kim Danny kuachia collabo na secular artist

Msanii wa gospel nchini Kenya ambaye anatamba kwa hits kibao kama 'Niko Salama, Nimeshinda, Hainaga Makosa' miongoni mwa nyinginezo, ameachia ngoma mpya sasa na ndio habari ya mitandaoni. Kim Danny...
605FansLike
0FollowersFollow
857FollowersFollow
558FollowersFollow
148SubscribersSubscribe

Recent Posts