Sunday, February 25, 2018

Kisumu Dope Squad 9 dropped to 3 talents crew

The upcoming Dope Squad 9 (DS9) is a music which was formed in 2014 in USaid Estate,Kisumu as dance crew with members over 15 people. The crew consist of 3...

Rayan Boy kipaji zaidi ya Ali Kiba

Kipaji ni sawa na chimbo la madini kwani kinaweka wengi mjini licha ya ugumu wa hali ya maisha. Wengi ukiwaskia watakuambia kuwa alizaliwa wakiwa wasanii au utaskia nimekulia kwenye familia...

‘Yes I Do’ ya Dj Zilla yasumbua kwenye media 

Muziki ni kama madini kwenye chimbo au labda kinywaji mfano soda kwenye chupa. Wengi wameufanya kwa miaka kadhaa na kuvuna matunda yake ila wengine ndio mwanzo wanatia guu Kwenye hio...

Masaibu ya msanii Good Man

Maisha na muziki ni maisha ya kusaka riziki pia. Wasanii wengi wamejitokeza kupambana na hali halisi huku wakijimudu kuonyesha kipaji na uwezo wao. Mitego  Sasa imefanikiwa kutega kijana mmoja machachari ambaye...

Mwenda Pole msanii mchanga mwenye nyota kali

Wasanii wamechangamka ili kufanya kazi za kweli na kuaminishia mashabiki wao kuwa wana vipaji. Mitego Sasa imefanikiwa kumhoji msanii chipukizi ambaye anajitahidi sana kwenye game la muziki Kenya na kufumbua...

The Winner [Umuvugizi]- New music 

Kutoka Kigali Rwanda ni msanii chipukizi ambaye anajituma mno kutamba. Msanii ameachia nyimbo nyingi za gospel mpaka sasa huku akijituma kupiga shows mataifa mbalimbali kama vile juzi amekuwa Uganda. The  Winner...

Fleyon [Miss You]- New video

Hii hapa ni video mpya kutoka kwa msanii chipukizi kutoka Kenya ambaye anajituma kuboresha kipaji chake ili nawe shabiki wake upate uhondo. Mitego imepiga story naye kuhusu ujio wake mpya...

Part 2: Cosmus K Xtreem Awards ‘Emerging Artist Artist of the Year’

When he was in form 3 in 2009 he began his musical journey where he released his first album entitled "Angalia" this was through the help of Fm2 Studios...

Selekta Ravers the Music Headmaster

Kwenye soko la muziki na burudani kuna watu wengi uhusika ili kufanikisha burudani ya aina yake. Wasanii, wanamitindo, MCs, DJs na kadhalika. Mitego Sasa Blog imepiga mmoja wa Madj wakali...

Bexy wa Music [Yolanda]-Video mpya

Msanii wa bongo fleva nchini Tanzania anayekuja kwa kasi kwenye game la muziki, ameachia video ya wimbo wake mpya baada ya kutusua kupitia ngoma 'Vanessa' na pia cover ya...

Recent Posts

X