Sunday, February 25, 2018

‘Yes I Do’ ya Dj Zilla yasumbua kwenye media 

Muziki ni kama madini kwenye chimbo au labda kinywaji mfano soda kwenye chupa. Wengi wameufanya kwa miaka kadhaa na kuvuna matunda yake ila wengine ndio mwanzo wanatia guu Kwenye hio...

New Music: [Mungu Yupo]- Pure James

Je unafahamu kuwa muziki umekuwa kwa kasi sana pande za Ukambani na kutoa wasanii matata sana kwenye game la muziki Kenya kama Kush Tracey! Basi fahamu na huyu dogo...

Masaibu ya msanii Good Man

Maisha na muziki ni maisha ya kusaka riziki pia. Wasanii wengi wamejitokeza kupambana na hali halisi huku wakijimudu kuonyesha kipaji na uwezo wao. Mitego  Sasa imefanikiwa kutega kijana mmoja machachari ambaye...

Fleyon: [Lean On me] -Video

Wasanii chipukizi wanazidi kujituma na kuja kwa kazi kuliteka soko la muziki na burudani. Wasanii wacahanga nchini Kenya haswa kutoka eneo la Pwani wameonyesha harakati zao za kuukomboa muziki...

Felix 254 -‘One Day’ kwenye ubora wake

Mitego Sasa inazidi kufumbua vipaji vipya vya wasanii wachanga Afrika Mashariki na sasa imetega na kukusogezea habari kuhusus huyu msanii. Felix 254 aka Felix Muema, amezaliwa mwaka 1998 mtaa wa...

Part 2: Cosmus K Xtreem Awards ‘Emerging Artist Artist of the Year’

When he was in form 3 in 2009 he began his musical journey where he released his first album entitled "Angalia" this was through the help of Fm2 Studios...

Kisumu Dope Squad 9 dropped to 3 talents crew

The upcoming Dope Squad 9 (DS9) is a music which was formed in 2014 in USaid Estate,Kisumu as dance crew with members over 15 people. The crew consist of 3...

The Winner [Umuvugizi]- New music 

Kutoka Kigali Rwanda ni msanii chipukizi ambaye anajituma mno kutamba. Msanii ameachia nyimbo nyingi za gospel mpaka sasa huku akijituma kupiga shows mataifa mbalimbali kama vile juzi amekuwa Uganda. The  Winner...

Rayan Boy kipaji zaidi ya Ali Kiba

Kipaji ni sawa na chimbo la madini kwani kinaweka wengi mjini licha ya ugumu wa hali ya maisha. Wengi ukiwaskia watakuambia kuwa alizaliwa wakiwa wasanii au utaskia nimekulia kwenye familia...

“Willy Pozee alianza na Moyo sasa anamalizia na Mwili”- Gemstone Reborn

Dah! Leo Jumapili Willy Pozee amepashwa makali yake na msanii mmoja wa secular music. Msanii huyo anayetaja kitendo cha Willy Paul kuchanganya gospel music na secular kama uhuni, amesema kuwa...

Recent Posts

X