Saturday, December 16, 2017
Home Taarifa

Taarifa

Habari ambazo hazipo katika kikundi maalum bali zimeandikwa kwa taarifa yako tu

Picha: Wema Sepetu kutabiri kifo chake

Dag! Haya makubwa Sana yaani hayaingii akilini. Msanii mwigizaji wa bongo movie amemwaga manyanga kwenye Instagram yake. Wema  Sepetu kwa mara nyngine amejitabiria kifo chake baada ya kipost ujumbe mrefu kwenye...

Picha: Happy Birthday Ali Kiba ‘Single’ kesho!

Kutoka bongo Tanzania ni story kubwa kuhusu kaka wawili wasanii wakubwa. Ali Kiba na Abdu Kiba nindugu wa tumbo moja ambao wanafanya muziki wa bongo fleva huku Ali akiwa ndiye...

Picha: Vita kati ya raia Kawangware!

Hali leo imekuwa tete maeneo ya Kawangware baada ya kuzuka vita baina ya raia wakazi wa huko. Siku ya leo ni siku ya kihistoria Kenya kwani ndio siku alitengwa kwa...

Picha: Ajali ya Jaguar

Balaa imemkuta tena msanii ambaye kwa sasa ni mbunge wa Starehe. Charles Njagua Kanyi aka Jaguar amehusika kwenye ajali ya barabarani maeneo ya Juja wakati wa msafara wake wa magari...

Ali Kiba kurekod Wasafi

Hivi ni kweli uhasama baina ya Simba na King Kiba ndio basi umekwisha? Muziki ni mojawapo wa sanaa bunifu ambapo wasanii mbalimbali uunganisha na kuleta amani kwenye jamii. Tetesi za kuisha kwa...

‘Kiss by Wema Sepetu’ lipstick banned 

Dah! Pigo kubwa kwa mwanadada mwigizaji wa filamu bongo Tanzania baada ya bidhaa yake kupigwa marufuku. Wema Sepetu aka Sepenga amekumbana na hali ngumu kwenye maisha yake kwani halmashauri ya...

Lulu kusotea jela kisa kuua Kanumba

Mwigizaji wa bongo movie Lulu aka Elizabeth Michal apata pigo mahakamani. Mrembo huyo anayeshtumiwa kuua aliyekuwa mpenzi wake bila kukusudia amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela. Steven Charles Kanumba alikuwa mpenzi...

Lulu kusotea jela kisa kuua Kanumba

Mwigizaji wa bongo movie Lulu aka Elizabeth Michal apata pigo mahakamani. Mrembo huyo anayeshtumiwa kuua aliyekuwa mpenzi wake bila kukusudia amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela. Steven Charles Kanumba alikuwa mpenzi...

List: Afrima Awards full Winners 2017

Tuzo maarufu duniani zitolewazo kutuza wasanii wa bara Afrika zimekamilika. Nyashinski mkali wa ngoma kama vile 'Malaika', Mungu Pekee, Aminia' akizidi kutegea siku ya tuzo za MTV Ema 2017 huku...

Diamond Platnumz UK tour 

Diamond Platnumz aka Simba wa Madale anazidi kupiga ziara za muziki wake Ulaya. Chibu Dangote mkaliwa 'Hallelujah' alisafiri Uingereza kwenye bonge la media tour za huko Ulaya kwa ajili ya kusambaza...
605FansLike
0FollowersFollow
857FollowersFollow
558FollowersFollow
148SubscribersSubscribe

Recent Posts