Saturday, December 16, 2017
Home Taarifa

Taarifa

Habari ambazo hazipo katika kikundi maalum bali zimeandikwa kwa taarifa yako tu

Diamond amdiss Ali Kiba na Ommy Dimpoz kwenye ‘Fresh Remix’

Simba aka Diamond amekuwa trending kila sehemu baada ya skendo kali kuhusu mtoto wa Hamisa Mobetto ambapo hajaweka wazi wala kupinga kuwa sio mtoto wake kwani hata ana jina...

Willy Pozee na Ali Kiba collabo

Collabo inayosubiriwa kwa hamu baada ya uchaguzi nchini Kenya ni moto na kubwa zaidi. Baada ya ukimya wake mkali wa bongo fleva hadi kubidi mashabiki kuomba angalau aachie ngoma mpya,...

Timmy T’Dat ft Otile Brown kaiba ‘Wenge’ ya Spizzo na Bandanah

Mapya ya utapeli wa muziki yamebainishwa na sasa hali ni tete kwani wasanii maraufu kwa muziki nchini Kenya wanadaiwa kuiba ngoma ya wasanii chipukizi. Wimbo 'Wembe' wake Timmy T Dat...

The multi talented STONE FABB

Kennedy Oloo,aka Stone Fabb is a Kisumu based hip hop artist with hit songs like Vuvuzela and M O G. Stone Fabb talks to Mitego Sasa about his journey...

“Nililipwa shilingi 1 Million” asema Rayvanny

Alaah, kama hujafahamu basi huu hapa mchongo kutoka kwa msanii matata mchini ya lebo ya muziki ya Wcb Wasafi ambaye pia ni mshindi wa tuzo yenye heshima kubwa duniani...

Wasanii wa EMB Records kwenye safari ya ndoa

Wasanii wakubwa chini ya lebo ya EMB Records wana mpango wa kupiga buti ukapela kwani inaonekana umri umesonga. Baada ya CEO wa lebo hio ya muziki Kenya, Bahati kutangaza kumvisha...

Diamond Platnumz na albamu mpya!

Msanii bonge la supa staa kutoka nchini Tanzania ameoneka na mkali wa hip hop kutoka Marekani, Rick Ross na inadaiwa kuna ujio wa kazi mpya ijayo collabo ya wasanii...

Nyota Ndogo afunguka A-Z masaibu ya miaka 17

Msanii mkongwe wa muziki muziri wenye mahadhi ya mapenzi kutokea Pwani ya Kenya hatimaye amemwaga manyanga kuhusu maisha yake na familia yake kwa ujumla. Nyota Ndogo aka Mwanaisha Abdallah mkali...

Video mpya: Beka Flavour -[SIKINAI]

Yamoto bend tangu taarifa za kusambaratika kwao kila msanii sasa anaonekana akipambana hali yake ili kufanikisha malengo ya muziki wake. Msanii Aslay wa Yamoto amekuwa kwenye vichwa vya habari kutokana...

Bill Gates awasili Tanga Tanzania

Tajiri na mjasiriamali mkubwa duniani amewasili nchini Tanzania kimya kimya huku akizuru miradi ya afya mkoa wa Tanga. Bilionea huyo inasemekana amewasili ili kukutana na viongozi wanaosimamamia miradi hio ya...
605FansLike
0FollowersFollow
857FollowersFollow
558FollowersFollow
148SubscribersSubscribe

Recent Posts