Saturday, December 16, 2017
Home Taarifa

Taarifa

Habari ambazo hazipo katika kikundi maalum bali zimeandikwa kwa taarifa yako tu

Wasanii wa EMB Records kwenye safari ya ndoa

Wasanii wakubwa chini ya lebo ya EMB Records wana mpango wa kupiga buti ukapela kwani inaonekana umri umesonga. Baada ya CEO wa lebo hio ya muziki Kenya, Bahati kutangaza kumvisha...

Diamond Platnumz na albamu mpya!

Msanii bonge la supa staa kutoka nchini Tanzania ameoneka na mkali wa hip hop kutoka Marekani, Rick Ross na inadaiwa kuna ujio wa kazi mpya ijayo collabo ya wasanii...

Picha: Happy Birthday Ali Kiba ‘Single’ kesho!

Kutoka bongo Tanzania ni story kubwa kuhusu kaka wawili wasanii wakubwa. Ali Kiba na Abdu Kiba nindugu wa tumbo moja ambao wanafanya muziki wa bongo fleva huku Ali akiwa ndiye...

Photo: Vybz Kartel from prison surfaced 

Some new Vybz Kartel photos of him in prison have surfaced and gone viral on social media. Not too often we see new images of the incarcerated dance hall star,...

Lyrics:Diamond ft Ne~Yo -[Marry You]

  (Ne-Yo) Verse 1 - Neyo When I look at you I see the air every very flavoury I see the sun go high you shine on me Niko mzima kwa sababu ya wewe tu And...

Vybz Kartel beats Kym Hamilton

Kym Hamilton, formerly known as Gaza Kim, has opened up about being beaten by Vybz Kartel cronies and going into a state of depression since then. Gaza Kim was once...

Ali Kiba kurekod Wasafi

Hivi ni kweli uhasama baina ya Simba na King Kiba ndio basi umekwisha? Muziki ni mojawapo wa sanaa bunifu ambapo wasanii mbalimbali uunganisha na kuleta amani kwenye jamii. Tetesi za kuisha kwa...

Video mpya: Roma Mkatoliki [Zimbabwe]

Roma Mkatoliki avuka mipaka na kwa sasa yuko 'Zimbabwe'. Kutoka bongo rapa huyo wa hip hop ameachia dude jipya na hadi sasa inapokelea vizuri na mashabiki na wadau wa...

Rayvanny ampiga Diamond Platnumz

Msanii wa Wcb Wasafi yake Diamond Platnumz amempiga chini boss wake huyo anaye tisha na video yake ya 'Eneka'. Rayvanny aka Vanny Boy kwa sasa amekuwa top in town na...

Willy Pozee na Ali Kiba collabo

Collabo inayosubiriwa kwa hamu baada ya uchaguzi nchini Kenya ni moto na kubwa zaidi. Baada ya ukimya wake mkali wa bongo fleva hadi kubidi mashabiki kuomba angalau aachie ngoma mpya,...
605FansLike
0FollowersFollow
857FollowersFollow
558FollowersFollow
148SubscribersSubscribe

Recent Posts