Saturday, December 16, 2017
Home Taarifa

Taarifa

Habari ambazo hazipo katika kikundi maalum bali zimeandikwa kwa taarifa yako tu

Lil Wayne’s daughter updates on Dad’s health

Lil Wayne appears appears to be on the mend according to close family members. In a series of Twitter posts, the rapper's daughter Reginae Carter updated fans on his health."My...

Khalighraph Jones collabo na Roma na Stamina

Wasanii wawili kutoka nchini Tanzania na ambao wamekita kambi Kenya kwa ajili ya media tour ya kusambaza ngoma zao wameonekana studioni na msanii wa hip hop Kenya. Rostam kwa maana...

Vybz Kartel rules dancehall behind bars!!

Born Adidja Azim Palmer in Portmore Kartel is the most talented artist in the  whole dancehall fraternity his lead single 'Fever' from his album King of the Dancehall has...

Shilole na Wimbo Mpyaa

Wimbo mpya wa masanii wa nchini Tanzania anayeitwa Shilole a.k.a Shishi Baby. wimbo unaitwa" Nyang'a Nyang'a" kazi ya Produsa wa Mazuu Records. Pakua kupitia Mkito.com

Ali Kiba kuachia wimbo mpya leo

Mashabiki wa muziki muziri wa bongo fleva leo Ijumaa watakuwa wanakata kiu cha muda mrefu tangu msanii gwiji wa bongo fleva aachie wimbo wake 'Aje'. Ali Kiba aka King Kiba...

‘Kiss by Wema Sepetu’ lipstick banned 

Dah! Pigo kubwa kwa mwanadada mwigizaji wa filamu bongo Tanzania baada ya bidhaa yake kupigwa marufuku. Wema Sepetu aka Sepenga amekumbana na hali ngumu kwenye maisha yake kwani halmashauri ya...

'Eneka' video ya Diamond tazama!!

Diamond ameachia single mpya baada ya collabo yake na msanii wa Nigeria Tiwa Savage 'Fire' ambayo ni kazi yenye ubora wake na inakubalika mno kwa mujibu wa views YouTube. Mkali...

Vanessa Mdee live B Club tonight 

Kwa wapenzi wa muziki mzuri na wale wa burudani leo ni siku yenu. Disemba inakaribishwa leo kwa bonge la burudani ndani ya B Club Kilimani. Vanessa Mdee msanii wa kike wa...

New Video: Chege- [Run Town]

TMK Wanaume Family, Chege Chigunda, adondosha ujio mpya. “RunTown” ikiwa ndio jina la kazi hiyo. Ngoma hii iko chini ya Producer STAR JAY. Pata kuitizama hapa👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼 https://youtu.be/-3zJJpj3N9w #MitegoEA.

New Video: CHAFUA MEZA

Wimbo na Video mpya ya msanii Edrocker Mwanaari. Ni msanii chipukizi kwenye Game ya muziki Kenya ila anafanya juhudi kuteka anga za burudani. Video hii imefanyika  katika mazingira ya Club...
605FansLike
0FollowersFollow
857FollowersFollow
558FollowersFollow
148SubscribersSubscribe

Recent Posts