Monday, February 26, 2018
Home Taarifa Page 14

Taarifa

Habari ambazo hazipo katika kikundi maalum bali zimeandikwa kwa taarifa yako tu

Rigobart Song ndiye Kocha mteule waTimu ya taifa ya Chad

Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon, Rigobart Song ameteuliwa na shirikisho la soko la Chad (CFF) kuwa kocha wao mpya baada ya Emmanuel Tregoat aliyefukuzwa. Song mwenye...

Professor Jay kashinda kiti cha ubunge

Joseph Haule aka Profesa Jay ambaye ni Rapper mkongwe wa Tanzania amechaguliwa nafasi ya ubunge Mikumi mkoa wa Morogoro. Jay alikuwa anawania ubunge kupitia chama cha denokrasia na maendeleo CHADEMA,alitangazwa...

Diamond Platnumz ana Tuzo nyingine ya MTV EMA 2015

aiseee Baba Tiffah unaweza,,,,congrats!!

Diamond Platnumz ana Tuzo nyingine ya MTV EMA 2015

Source: Diamond Platnumz ana Tuzo nyingine ya MTV EMA 2015

Diego Costa kasema hatobadilisha mfumo wa uchezaji wake

visit the website or likeSource: Diego Costa kasema hatobadilisha mfumo wa uchezaji wake

Diego Costa kasema hatobadilisha mfumo wa uchezaji wake

Strika matata wa klabu cha Chesea amesema kwamba hatobadilisha uchazaji soka  wake kwani umemfikisha mbali na wala yeye sio malaika. Costa amepigwa marufuku mechi tatu mara mbili mwaka huu kwa...

SIKU YA MASHUJAA KENYA

LEO TAREHE 20 OCTOBA NI SIKU YA KIFAHARI KATIKA HISTORIA YA NCHI YA KENYA Ni wazi kuwa tangu nchi ya Kenya kupata Uhuru kutoka kwa mabeberu leo hii ni siku...

Uongozi usiojali jinsia

Ni kweli mwanamke kashefananishwa na chombo cha nyumbani na ngazi za juu kuwaachia wanaume. Nchini Kenya wasichana wengi hukosa nafasi za masomo kwa kuzingatia mila potovu tena za kiunyama...

UWEZO WA KIJANA MSICHANA KWENYE RUWAZA YA MWAKA 2030

Kijana msichana ni nguzo muhimu katika jamii na nchi yoyote iliyo na  maono ya kuafikia katika muda fulani na kufanikisha malengo ya mustakabali wa nchi husika. Ni wazi kuwa jamii...

Venessa Mdee ametoa changamoto kwa wasanii wenzake na pia kuweka vizuri nafasi ya wasanii...

Ni kwenye Tuzo za AFRIMMA 2015 huko Marekani ndiko msanii wa Tanzania alipata tuzo hio ya "The Best Female East Africa" katika ngazi za kimataifa. Venessa Mdee anatambulika Afrika...

Recent Posts

X