Sunday, December 17, 2017
Home Taarifa Page 2

Taarifa

Habari ambazo hazipo katika kikundi maalum bali zimeandikwa kwa taarifa yako tu

Chagua Caroline Wangari Faceof NIVEA

Fahamu mwanamitindo huyu mwanafunzi chuoni Kisii ambaye ameteuliwa kugombea nafasi ya kuwa balozi au ambassador wa bidhaa ya mafuta ya kujipaka mwilini ya Nivea. Caroline Wangari abaye anafanya course ya...

Nyota Ndogo afunguka A-Z masaibu ya miaka 17

Msanii mkongwe wa muziki muziri wenye mahadhi ya mapenzi kutokea Pwani ya Kenya hatimaye amemwaga manyanga kuhusu maisha yake na familia yake kwa ujumla. Nyota Ndogo aka Mwanaisha Abdallah mkali...

Mafikizolo ft Yemi Alade ngoma mpyaa

Hii nayo kali kutoka kwa wakali wa muziki barani Afrika inayodondoka muda si mrefu kuanzia leo. Kundi hilo la Afrika Kusini limempa shavu msanii mama wa Afrika kutokea Afrika Magharibi...

Ronaldo na kocha Zidane watwaa tuzo za FIFA

Mshambulizi wa Real madrid na timu ya taifa la ureno Cristiano Ronaldo aliwapiku Messi na Neymar na kushinda taji la shirikisho la soka FIFA la mchezaji bora wa kiume...

Polisi wezi Kenya

Dah! Inakera sana kuskia visa mbalimbali kuhusu wizi wa polisi kwa raia wa Kenya. Baadhi ya polisi wa utawala na wale wa Kenya Police wamegeuza cheo chao kuwa sehemu kuu...

Jose Chameleone aanza kampeni ‘Save UG Music’

Harakati za kukuza muziki Afrika Mashariki ni muhimu ili kutanua game la muziki wetu na kufikia soko la kimataifa zaidi. Wasanii wengi wemeonyesha ari hio na kupitia michakato yao...

Eddy Kenzo tour 2017 schedule

Kutoka Uganda ni msanii gwiji wa muziki anayetamba duniani kwani pia ni mshindi wa tuzo kubwa ya BET 2015 ambaye tayari ametangaza world tour ya muziki wake karibuni. Msanii huyo...

Huddah Monroe aponda maandamano ya NASA

Huddah Monroe mwanamitindo wa Kenya amefunguka ya moyoni kuhusu maswala ya maanadamano ya wafuasi wa mrengo wa siasa wa NASA. Mwanadada huyo maarufu amesema wazi kuwa wanaotumia muda wao kuaharibu...

Picha: IEBC WhatsApp group kimenuka!! 

Kimenuka na mambo yameanza kubainika wazi huku Wakenya mbalimbali wakionyesha misimamo yao kisiasa. Kufuatia kubatilishwa kwa ushindi wa rais Uhuru Kenyatta na mahakama kuu inayoongozwa na jaji mkuu,David Maraga, joto...

Diamond Platnumz na albamu mpya!

Msanii bonge la supa staa kutoka nchini Tanzania ameoneka na mkali wa hip hop kutoka Marekani, Rick Ross na inadaiwa kuna ujio wa kazi mpya ijayo collabo ya wasanii...
605FansLike
0FollowersFollow
857FollowersFollow
558FollowersFollow
149SubscribersSubscribe

Recent Posts