Saturday, December 16, 2017
Home Taarifa Page 3

Taarifa

Habari ambazo hazipo katika kikundi maalum bali zimeandikwa kwa taarifa yako tu

Patoranking na Diamond

Kumbe Pataronking na Diamond kaiba beat !!

Msanii chini ya lebo ya Nigeria 'Chocolate City' ameibuka na reopoti za kuibiwa beat na melodies za wimbo wake aliouachia mapema January mwaka huu wa 2017. Msanii huyo amewashtumu...

Hamisa Mobetto amfungulia kesi Diamond 

Penzi limechina na sasa imebakia kiporo tena wanasema waswahili kuwa linanuka baada ya kuzuka kwa choko choko kwenye mahusiano ya Diamond Platnumz na Zari Hassan mzazi mwenzake. Msanii huyo wa...

“Nililipwa shilingi 1 Million” asema Rayvanny

Alaah, kama hujafahamu basi huu hapa mchongo kutoka kwa msanii matata mchini ya lebo ya muziki ya Wcb Wasafi ambaye pia ni mshindi wa tuzo yenye heshima kubwa duniani...

Mwanadada atembea uchi Italy

Mwanadada mmoja azua hali ya taharuki nchini Italy alipoonekana barabarani akitembea mitaani akielekea duku kuu kufanya ununuzi wa mahitaji yake binafsi. Alionekana akipita maeneo ya maarufu inakaa watalii nchini...

KTCA MUSIC AWARDS NOMINEES 2017.

THEME: Disability is my empowerment . KTCA BEST MALE ARTIST  -Nebullaz -Gabiro -Xpat mkwanja -Vicmass luo dollah -Chief moses -Black sultan KTCA BEST FEMALE ARTIST -Beryl owano -Nahna -Mia Ivy -Vivian Odi -Matamu music -Ayreal KTCA BEST COLLABORATION SONG -Gabiro x matamu @low key -Double b...

Uganda kimenuka bungeni

Jana Septemba 27, 2017 bunge la kitaifa la Uganda liliguzwa shamba la mieleka na ngumi kwani wabunge walitofautiana kwenye mswada wa kuondoa miaka ya kugombea nafasi ya urais kwa...

Timmy T’Dat ft Otile Brown kaiba ‘Wenge’ ya Spizzo na Bandanah

Mapya ya utapeli wa muziki yamebainishwa na sasa hali ni tete kwani wasanii maraufu kwa muziki nchini Kenya wanadaiwa kuiba ngoma ya wasanii chipukizi. Wimbo 'Wembe' wake Timmy T Dat...

New Video: Chege- [Run Town]

TMK Wanaume Family, Chege Chigunda, adondosha ujio mpya. “RunTown” ikiwa ndio jina la kazi hiyo. Ngoma hii iko chini ya Producer STAR JAY. Pata kuitizama hapa👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼 https://youtu.be/-3zJJpj3N9w #MitegoEA.

Part 7: Early on the wedding day!!

Since I was tired I decided to sleep after 7pm news, I grabbed a glass of Yoghurt and jumped to the bed. I slept like a baby. Around 9...

MITEGO SASA TV, Muda wetu sasa

Mitego Sasa Blog imekusogezea kila aina ya burudani sasa huna sababu ya kukosa kujipa uhondo kwenye  YouTube channel yetu hii https://goo.gl/7hvuQu amabyo inakusanya video tamu tamu zenye uhondo ili nawe...
605FansLike
0FollowersFollow
857FollowersFollow
558FollowersFollow
148SubscribersSubscribe

Recent Posts