Sunday, February 25, 2018

Darassa kwenye dawa za kulevya! 

Dah! Habari za kichizi zashuka mitaani leo kuhusu mkali wa 'Hasara Roho'. http://www.instagram.com/mitego.co.ke Msanii huyo ambaye amekita mizizi Kwenye muziki wa hip hop rap bongo Tanzania, amesemekana kupagawa kisa madawa ya...

Picha: Eric Omondi aonyesha uwezo wake kiume! 

Dah! Kwenye mitandao kumejuva picha za msanii mshekeshaji maarufu Kenya akiwa kwenye pozi huku ameachia zigo. http://www.instagram.com/mitego.co.ke Eric Omondi ameonekana kwenye baadhi ya picha hizo pembeni akiwemo mrembo lakini 'Mali' inaonekana...

Photo: Students fight for University Names! 

Duh! Maneno yangelikuwa sumu, wengi wengekufa ila kwa kuwa ni maneno tu yana hukumu. Leo kwenye pita pita za mitandaoni Mitego Sasa imekumbana na vita vya maneno kwenye group moja...

Video: Willy Pozee amdiss Octopizzo kisa Chris Brown

Dah!! Wasanii sanaa imekuwa moto kama pasi kwani wengine wamefikia hatua ya kuungua. Hivi bado wasanii wanazidi kutafuta kiki kwa mambo ya kawaida yasio na msingi? Willy Paul ambaye ni msanii...

Picha: Dj wa Kisumu aanika uchi wake

Dah! Muziki nchini Kenya ungali kukabiliwa na changamoto ikiwa huu ndio mtindo. Wasanii, mapromota, Madj na watangazaji wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kuukuza na kusambaza muziki wa wasanii Kenya ili...

Photos: 10 Funny jokes and pictures of year 2017

Matukio mengi yakufana ndani ya mwaka mzima 2017 tumekusogezea baadhi hapa. Unaweza kutazama picha hizi tofauti ili kujiburudisha na kufahamu ujumbe husika.

Picha: Christmas in African style 

Dah! This is so amazing guys. Yaani watu ni wabunifu kiasi kikubwa hivi! Angalia hawa jamaa wawili ametulia ndani ya karai na kupiga pozi utadhani wapo Diani Beach au Nyali...

Picha: Christmas in African style 

Dah! This is so amazing guys. Yaani watu ni wabunifu kiasi kikubwa hivi! Angalia hawa jamaa wawili ametulia ndani ya karai na kupiga pozi utadhani wapo Diani Beach au Nyali...

Picha: Mbuzi akula chapati za Christmas!

Ah! Majanga unapoona kuku akila mahindi baaae jioni analiwa na sima au kwa wali. Msimu huu wa sikukuu kuna shamrashamra kibao za kuonyesha upendao na ushikamano kwa familia mbalimbali na...

Picha: Baraka zikikawia tunaziendea juu

Dah! Kweli mwanadamu hawezekani katu. Baada ya kuona baraka za Mwenyezi Mungu hazishuki kwa haraka na kumfikia kwa wingi, mwenzetu ameamua kuziendea. Mwanaume huyu amejenga kijumba chake anga za juu ili...

Recent Posts

X