Sunday, February 25, 2018

Fortune From My X

This is a story whose environment is based in Nairobi. The story covers a series of events that happened to the narrator within a short time, From May 9th 2017...

Part 1: A Call from my Ex-Girlfriend shocked me!!

Introduction; Fortune From My X>https://goo.gl/tbE6Xb On Friday morning after I have seen off my wife who was traveling up country for one week, I decided to have a cup of...

Eric Omondi-‘Seduce Me’ cover[shock me]

Mkali huyo mchekeshaji ameachia video cover mpya ya ngoma 'Seduce Me' ya Ali Kiba. Eric Omondi baada ya kutendea haki wimbo wake Diamond 'Eneka' kisha 'Zilipendwa' ya Team Wcb sasa...

New Video: Erick Omondi- Zilitemwa (Zilipendwa Cover)

Mchekeshaji kutoka Kenya, Erick Omondi amedondosha video nyingine baada ya aliyoiwachia awali kufanya vizuri. Erick kama anavyotambulika kwa kutoa refix kwa ngoma wa mkali wa bongo Diamond Platinumz, aliachia Refix...

Video: Jamaa apasulia yai kichwani

Jamaa mmoja azua kicheko alipokuwa akibandua yai ili ale wakati alipokuwa mezani na mrembo ili kujiba shibe ya siku. Maankuli yaliokuwepo mezani yalinoga utamu huku jamaa akionyesha kuridhishwa na msosi...

Babu Owino aapa kwa jina la Raila Odinga, Tibim!!

Vituko nchini Kenya ni sehemu ya maisha ya wananchi na vinachangia utengamano na utendakazi kwa uchangamfu kwani vijana wengi hujituma pia kuwa wachekeshaji na kupata kipato cha kujikimu maishani. Bunge...

Jamaa atumia gunia kubebea unga wa ugali- [Video]

Maisha ya watu wengi nchini Kenya yanaendelea kuchukua mkondo mpya kutokana na sheria ya kupiga marufuku utumioaji wa 'Plastic paper bags' kwani kunachangia uharibifu wa mazingira. Halmashauri ya kutunza mazingira...

Majanga: Husband of the year!!- Video

Dunia ina malimwengu na vitu ni sehemu kuu ya maisha ya mwanadamu wa kawaida na pia mwendawazimu. Matukio mengine mtu uweza kudhania ni video tu au labda ni maigizo lakini...

Fans mad at Arsene Wenger

Hii ndio reaction ambayo mmoja wa mashabiki wa Arsenal Fc alionekana akifanya wakati alipomwona kocha wa klub hicho akizungumza kwenye televisheni. Arsenal imekuwa na msururu wa kudorora kwenye misimu  mingi...

Kinachotokea unapo danganya kwenye CV ya kazi

Malimwengu hayatawahi kuisha kutokana na vitendo vya wanadamu wengine wenye hulka ya utani na ucheshi mwingi. Ni rahisi kuona mtu akibeba wasaifu wake kuelekea kuomba au kusaka nafasi za kazi...

Recent Posts

X