Sunday, February 25, 2018

Githeri Man afanya yake katikati ya marais

Martin Kamotho amekuwa gumzo mno kwenye kila pembe ya nchi ya Kenya kuwa kuonekana kuwa mtu wa tofauti na wakenya wenzake kwa kitendo cha kujivunia kula githeri kwenye foleni...

Githeri Man atishiwa na Jalang’o

Ni kwenye zoezi nzima la upigaji kura mwaka huu 2017 ndipo raia wa Kenya amepata sifa tele na kusambaa kila kona ya mitandao na media kadhaa nchini. Martin Kamotho amebahatika...

Pete ya ndoa yapatikana kwenye Carrot

Hivi mara ya mwisho kuskia mtu amepoteza pesa ni lini na ulimwengu ulivyobadilika kiuchumi na mahitaji kibao. Ama kweli itakuwa ni ajabu kubwa kuskia mwanadamu amesahau deni lake pesa...

Mlevi akicheza ‘Tibim’ ya NASA

Hii ndio hali halisi ya jinsi watu mbalimbali wakiskia nyimbo za kupigia kampeni vyama vya kisasa navyokuwa na msisimko na kujiachia kwa raha zao. Huyu jamaa ni mlevi lakini anavyotembea...

Recent Posts

X