Sunday, February 25, 2018
Home Umbea Vichekesho

Vichekesho

Hizi ni habari za kuchekesha na vicheshi kwenye blogu

Video: Willy Pozee amdiss Octopizzo kisa Chris Brown

Dah!! Wasanii sanaa imekuwa moto kama pasi kwani wengine wamefikia hatua ya kuungua. Hivi bado wasanii wanazidi kutafuta kiki kwa mambo ya kawaida yasio na msingi? Willy Paul ambaye ni msanii...

Picha: Dj wa Kisumu aanika uchi wake

Dah! Muziki nchini Kenya ungali kukabiliwa na changamoto ikiwa huu ndio mtindo. Wasanii, mapromota, Madj na watangazaji wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kuukuza na kusambaza muziki wa wasanii Kenya ili...

Photos: 10 Funny jokes and pictures of year 2017

Matukio mengi yakufana ndani ya mwaka mzima 2017 tumekusogezea baadhi hapa. Unaweza kutazama picha hizi tofauti ili kujiburudisha na kufahamu ujumbe husika.

Picha: Christmas in African style 

Dah! This is so amazing guys. Yaani watu ni wabunifu kiasi kikubwa hivi! Angalia hawa jamaa wawili ametulia ndani ya karai na kupiga pozi utadhani wapo Diani Beach au Nyali...

Picha: Christmas in African style 

Dah! This is so amazing guys. Yaani watu ni wabunifu kiasi kikubwa hivi! Angalia hawa jamaa wawili ametulia ndani ya karai na kupiga pozi utadhani wapo Diani Beach au Nyali...

Picha: Mbuzi akula chapati za Christmas!

Ah! Majanga unapoona kuku akila mahindi baaae jioni analiwa na sima au kwa wali. Msimu huu wa sikukuu kuna shamrashamra kibao za kuonyesha upendao na ushikamano kwa familia mbalimbali na...

Picha: Baraka zikikawia tunaziendea juu

Dah! Kweli mwanadamu hawezekani katu. Baada ya kuona baraka za Mwenyezi Mungu hazishuki kwa haraka na kumfikia kwa wingi, mwenzetu ameamua kuziendea. Mwanaume huyu amejenga kijumba chake anga za juu ili...

Picha: Chipukeezy nduguye Chris Brown !!

Hivi ushawahi kuambiwa unafanana na msanii yupi mkubwa? Inawezekana unashabihana mwonekano na mtu maarufu duniai kwa kumjua au kutomjua. Chipukeezy mchekeshaji wa show ya Churchill ametupia picha yake ambapo anaonekana...

Picha: Hilarious Hair styles 

Je ushawahi kuona style mbalimbali za kunyoa na mitindo ya kisasa? Walimwengu wamejawa na majimambo ya kila aina na kila uchao kunaibuka jipya. Tazama huyu kijana mwenye style mpya ya unyoaji...

Mwanamke anayepiga gym utampenda?

Hivi kweli dunia ina malimwengu ya kila aina. Je ukikutana na mwanamke anayepiga gym utapenda kuwa na urafiki naye? Mitego Sasa Blog leo inakusogezea picha ya mwanamke mmoja mwenye misuli...

Recent Posts

X