Saturday, December 16, 2017
Home Umbea Vichekesho

Vichekesho

Hizi ni habari za kuchekesha na vicheshi kwenye blogu

Eric Omondi-[Shock Me]

Mchekeshaji wa kipindi maaraufu cha Churchill Show ameibuka na jingine la burudani. Hii ni baada ya kudondosha video  moja kali saa chache zilizopita. Msanii huyo mwanasarakasi anayefahamika kama Eric Omondi...

Uganda kimenuka bungeni

Jana Septemba 27, 2017 bunge la kitaifa la Uganda liliguzwa shamba la mieleka na ngumi kwani wabunge walitofautiana kwenye mswada wa kuondoa miaka ya kugombea nafasi ya urais kwa...

Sauti Sol wanapokezwa dozi yao

Sauti Sol baada ya kuoneka kutoa msimamo wao na maoni kuhusu mirengo ya kisiasa nchini Kenya, sasa wamekuwa gumzo kwenye kona zote za mitandao kwani wakenya wajawaach salama. Wasanii hao...

Picha: Tattoo au jini mwilini!

Je ushawahi kujikuta katika hali ngumu kama hii ambapo unatakiwa ufanye kazi fulani kisha ukaishia kufanya kinymue chake? Na je kama ishawahi kutokea, ulikabiliana na hali hio vipi? Mchoraji huyu...

Githeri Man atishiwa na Jalang’o

Ni kwenye zoezi nzima la upigaji kura mwaka huu 2017 ndipo raia wa Kenya amepata sifa tele na kusambaa kila kona ya mitandao na media kadhaa nchini. Martin Kamotho amebahatika...

Pete ya ndoa yapatikana kwenye Carrot

Hivi mara ya mwisho kuskia mtu amepoteza pesa ni lini na ulimwengu ulivyobadilika kiuchumi na mahitaji kibao. Ama kweli itakuwa ni ajabu kubwa kuskia mwanadamu amesahau deni lake pesa...

Mwanadada atembea uchi Italy

Mwanadada mmoja azua hali ya taharuki nchini Italy alipoonekana barabarani akitembea mitaani akielekea duku kuu kufanya ununuzi wa mahitaji yake binafsi. Alionekana akipita maeneo ya maarufu inakaa watalii nchini...

Mlevi akicheza ‘Tibim’ ya NASA

Hii ndio hali halisi ya jinsi watu mbalimbali wakiskia nyimbo za kupigia kampeni vyama vya kisasa navyokuwa na msisimko na kujiachia kwa raha zao. Huyu jamaa ni mlevi lakini anavyotembea...

Babu Owino aapa kwa jina la Raila Odinga, Tibim!!

Vituko nchini Kenya ni sehemu ya maisha ya wananchi na vinachangia utengamano na utendakazi kwa uchangamfu kwani vijana wengi hujituma pia kuwa wachekeshaji na kupata kipato cha kujikimu maishani. Bunge...

Majanga: Husband of the year!!- Video

Dunia ina malimwengu na vitu ni sehemu kuu ya maisha ya mwanadamu wa kawaida na pia mwendawazimu. Matukio mengine mtu uweza kudhania ni video tu au labda ni maigizo lakini...
605FansLike
0FollowersFollow
857FollowersFollow
558FollowersFollow
148SubscribersSubscribe

Recent Posts