Friday, January 19, 2018

Vichekesho

Hizi ni habari za kuchekesha na vicheshi kwenye blogu

Majanga: Husband of the year!!- Video

Dunia ina malimwengu na vitu ni sehemu kuu ya maisha ya mwanadamu wa kawaida na pia mwendawazimu. Matukio mengine mtu uweza kudhania ni video tu au labda ni maigizo lakini...

Fans mad at Arsene Wenger

Hii ndio reaction ambayo mmoja wa mashabiki wa Arsenal Fc alionekana akifanya wakati alipomwona kocha wa klub hicho akizungumza kwenye televisheni. Arsenal imekuwa na msururu wa kudorora kwenye misimu  mingi...

Kinachotokea unapo danganya kwenye CV ya kazi

Malimwengu hayatawahi kuisha kutokana na vitendo vya wanadamu wengine wenye hulka ya utani na ucheshi mwingi. Ni rahisi kuona mtu akibeba wasaifu wake kuelekea kuomba au kusaka nafasi za kazi...

Githeri Man afanya yake katikati ya marais

Martin Kamotho amekuwa gumzo mno kwenye kila pembe ya nchi ya Kenya kuwa kuonekana kuwa mtu wa tofauti na wakenya wenzake kwa kitendo cha kujivunia kula githeri kwenye foleni...

Githeri Man atishiwa na Jalang’o

Ni kwenye zoezi nzima la upigaji kura mwaka huu 2017 ndipo raia wa Kenya amepata sifa tele na kusambaa kila kona ya mitandao na media kadhaa nchini. Martin Kamotho amebahatika...

Pete ya ndoa yapatikana kwenye Carrot

Hivi mara ya mwisho kuskia mtu amepoteza pesa ni lini na ulimwengu ulivyobadilika kiuchumi na mahitaji kibao. Ama kweli itakuwa ni ajabu kubwa kuskia mwanadamu amesahau deni lake pesa...

Mlevi akicheza ‘Tibim’ ya NASA

Hii ndio hali halisi ya jinsi watu mbalimbali wakiskia nyimbo za kupigia kampeni vyama vya kisasa navyokuwa na msisimko na kujiachia kwa raha zao. Huyu jamaa ni mlevi lakini anavyotembea...
612FansLike
1FollowersFollow
857FollowersFollow
563FollowersFollow
175SubscribersSubscribe

Recent Posts