in

Ukishangaa Ya Konde Boy Hujayaona Ya Simba Diamond!πŸ˜…πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Hivi ndio dunia imekengeuka au ndio wasanii wetu wameweuka?

Muziki wa kisasa umekuwa kama mashindano ya mwonekano wala sio Muziki.

Viatu vyake Diamond Platnumz

Ukishangaa ya Konde Boy aka Harmonize, hujayaona ya Simba Diamond Platnumz.

Simba ametupia baadhi ya picha akiwa nchini Afrika Kusini huku akiwa kwenye studio.

Diamond Platnumz akiwa studioni pamoja na meneja wake Babu Tale

Mkali huyo wa bongo fleva Tanzania na duniani Kwa sasa ameonesha mtindo mpya wa vazi la viatu vya aina yake vyenye saa ya mkononi kwenye sura ya mbele ya Viatu.

Baada ya Harmonize kuibuka na ‘Altitude’ wimbo uliovunja rekodi kwenye mitandao kwani video yake alionyesha vazi kali lenye ‘Vijiko, Uma, Visu’ kama fesheni mpya ya Sanaa ya sasa.

Fasheni yake Harmonize

Hapa naye Diamond Platnumz akiwa tayari kuachia album yake ya nne ya muziki, naye ametupia picha hio yenye fasheni mpya ya viatu.

Diamond Platnumz Mwonekano Mpya!

Je, unadhani Muziki ni Mwonekano au ni kuelimisha jamii?

What do you think?

Written by Antony Makenzi

Antony Makenzi is a content writer who has sharpened his skills and absorbed knowledge on Financial freedom, Wealth, Making Money Online and development of a mindset!

Autohatch Incubators The New Dawn For Poultry Farming! 🐣

Photos: Wendy Slim Shocks Netizens With This Nudes!