in

Shida! Platinum Diamond Grills Simba Sio Mchezo! ๐Ÿค—Watch Video

Read On: Eid Ya Simba Diamond Platnumz Kubwa 2021!๐Ÿ˜‹

Waah! Simba kaweuka au ndio nini kaweka?

Yaani sio mchezo bwana tumia pesa zikuzoee. Mwaka huu alisema Diamond Platnumz kuwa “Wameingia Choo Cha Kike, Lazima Wachuchumae”. Je, ni kweli au ni ubishi tu?

Baada ya orodha nzima ya Forbes kuainisha watu na mastaa matajiri barani Afrika, Simba hakuonekana kwenye top 20. Lakini ndio hapa sasa nawapiga chini wengi waliojifanya matajiri kumbe ni sifa za bure.

Msanii huyo kutoka Wcb Wasafi ambaye pia anajiweka sawa kuichia Album yake ya Dunia, ‘World Album’ ambayo itawapa shavu wasanii wakubwa wa Muziki duniani kama vile Cardi B, Innos B, Focalistic, Wizkid Ayo miongoni mwa maclebrity kibao, ameonyesha wala sio mnyonge.

Simba’s Golden White Iced Grillz

Huku mtani wake Harmonize aka Konde Boy kutoka Konde Gang akitupia koti lenye sanaaa na mapambo ya Vijiko, Uma, Visu kwenye Video yake ‘Altitude‘ akimshirikisha Awilo Longomba, Simba ameonyesha vito vya dhamani kubwa.

Photos: Porn or what? Sexy Photos Of Kenyan Socialite Exposed!๐Ÿ˜

Platinum Diamond Grills ndio vito vya bei kuwa anazovalia kwenye Meno yake Diamond Platnumz Kwa sasa.

Harmonize aka Konde Boy

Dah, kumbe maisha sio fair jamanii, Harmonize umeona hio challenge kweli?๐Ÿค—

Watch Video: Diamond Platnumz new golden and customized white plated iced grillz worthy Millions.

What do you think?

Written by Antony Makenzi

Antony Makenzi is a content writer who has sharpened his skills and absorbed knowledge on Financial freedom, Wealth, Making Money Online and development of a mindset!

Photos: Wendy Slim Shocks Netizens With This Nudes!

Eid Ya Simba Diamond Platnumz Kubwa!๐Ÿฟ