in

Visita Super Producer Na Rapper Awasha Moto GrandPa Records!πŸ˜€πŸ™Š

Balaa jipya limezuka leo kwenye mitandao baada ya msanii kuiponda Grandpa records.

Record label hio inayomilikiwa na Heavyweight’ Refigah, ilikuwa imemsaini Visita Super Producer pia super rapper, Kenrazy, DNA, Dufla Diligon na wasanii wengineo.

Super Rapper na Producer Visita

Baada ya wawili hao (Kenrazy na Visita) kuhama label hio, umaarufu wa GrandPa Records ukaanza kushuka.

Mr Refigah

Leo hii kupita kipindi cha Maisha Jioni ndani ya Radio Maisha, Visita amefunguka ya moyoni nakuwa Mr. Refigah amemkula sana pesa zake kupitia muziki.

“Mr. Refigah amenikula sana, na baada ya kutoka kwake GrandPa bado anaendelea kunikula. Sijui amezoea kukulana ama”alisema Visita kwenye Maisha Jioni show.

CEO Grandpa records Mr Refigah

Vilevile mkali huyo wa kibao ‘Mapepo’ wimbo waliopiga collabo na Kenrazy, ameeleza kuwa yeye hajaokoka bado baada ya kuulizwa msimamo wake wa kiimaani kwani baadhi ya wasanii wa muziki wa secular wamepiga hatua ya wokofu na kuanza maisha ya muziki wa Gospel kama vile Wahu, Size 8 Reborn na wengineo.

Visita

“Kuokoka aje maana ina maana nyingine hiyo Neno, kuokoka kutoka kwenye hatarii au kuokoka kutoka kwa Kifo au,, Mimi bado sijaokoka

Visita amesema kuwa waandishi wa habari na wanadau wa muziki wasiwe wakimfuatilia msanii maisha yake kipindi yupo kwenye mashaka na wala wasionekane kipindi msanii anahitaji msaada kutoka kwako.

“Msiwe nanitafuta wakati nina shida lakini hamtoi support wakati nahitaji” alimaliza Visita.

Alieleza kuwa jina lake Visita’ alitokona na kuwa alozaliwa June 6 hivyo jina ‘Vi-Sita’.

What do you think?

Written by Antony Makenzi

Antony Makenzi is a content writer who has sharpened his skills and absorbed knowledge on Financial freedom, Wealth, Making Money Online and development of a mindset!

Comments

Leave a Reply

Loading…

0

145 King Tension Over His New Club Banger Released! πŸ€ͺπŸ‡°πŸ‡ͺ

‘Greatness Is Upon Us’ Femi One Diss King Kaka!πŸ₯³